basic APPLIED SUBJECT katika elimu ya adance ni kama ilivyo BAM ya PCB,CBA,CBG nk ambayo haifanani pure maths ya PCM,EGM,CBM,PGM nk,MSOMO YASIYO BASIC NI PRINCIPAL SUBJECTS ambayo ndo yanatengeneza mjumuiko wa hayo masomo ya katika combination,anaeamua iweje ni serikali kama walivyoamua sasa kwa kuanzisha combination mpya kama hiyo ya CBM na zingine kama tatu,
MTU ANAPOYAITA MASOMO YOTE YA ADVANCE KUWA NI BASIC HAPO ANAZUNGUMZIA KATIKA NGAZI YA JUU YAKE,mfano mtu akiwa chuo kikuu masomo ya advance ndio basic ya vitivo vya chuoni,vivyo hivo mtu anaweza kusema masomo yote ya o leve ni introduction kwa masomo hayo akimaanisha mtu akiwa Advance masomo ya o level yalisimama kama introduction kwa yeye kuweza kuyasoma masomo hayo ya advance
Kichwa ni elastic bwana Mshinga,tunatakiwa kukijaza kwa kiwango kikubwa,Tukikubaliana kusoma tu masomo mawili utakuja kukataa pia Anatomy isisomwe na MDs ambao lengo lao ni kuja ku-specialize kwenye Neurology!
ndugu ya sio kweli kuwa wazungu wanaopt masomo tangu mapema mfano uingerza italy ufaransa wao advance ni masomo 3 ugeruman austria uholanzi wao advance ni masomo 5
mwenye huu uzi inaonekana unapenda sana mteremko hao walioanzisha hayo masomo matatu sio wajinga nahc ww ni kilaza think big usipend urahisi wa mambo
asante kwa hili.mkuu !! Kujifunza masomo mengi kwa wenzetu mara nyingi ni option ambayo mtu anachukua baada ya kujipima na kuona anaweza. Inasemekana majority ya iq za binadamu wa kawaida haziruhusu kujifunza vitu vingi kwa wakati mmoja!
Niliwahi kufundishwa physics a level na mwalimu mmoja wa peace corps ,fit kiukweli kwa physics kuanzia laws na aplications zake,alishangaa jinsi tulivyokuwa tuna lundo la masomo ( matano kwa wakati ule ) ana degree! Na kuanzia utoto wake alisoma physics plus basic math tu.
thanks mawazo kama haya yanaweza kusaidiakwa mtindo huu kila siku tutakuwa watu wa kushangaa na kusubiri innovation za wazungu , wenzetu wanaspecillize kwenye somo moja na kulielewa .
Maoni ya mtoa mada yako sahihi sana kama kweli tuna nia ya kutengeneza wataalam competetive kwa dunia ya leo.
Sonson hapo juu kakupa mifano. Nimekupa mfano wa Marekani. Kweli kama unataka kuwa daktari mbunifu lazima uijue fizikia vizuri. Fizikia imekuwa msingi mkubwa wa uchunguzi wa hata vitu kama DNA. Narudia tusitafute mitelemko tukapata elimu finyu finyu. we must run while they walk.
mimi sijawaita wajinga labda wewe ndio unaona wajinga,na wewe NDIO UTAKUWA MJINGA NAMBA MOJA KAMA UNAAMINI KILA KITU KILICHOANZISHWA KABLA HAKIWEZI KUBADILISHWA ETI KWA SABABU ZILITUMIKA SABABU,hata sasa najenga hoja kwa kutumia sababu na kama nikiweza kuwashawishi watu wakaelewa hoja yangu tunaweza kufikia hayo mabadiliko,''THINK DIFFERENTLY' BY STIVE JOBS kwa hiyo si lazima uendelee kufikiria vilevile mana katika innnovation ukifikiria yale yale kila siku hakuna siku utakayofanya mageuzi.NA BAHATI MBAYA UNATETEA HOJA BILA KUJUA AMA KUWA NA SABABU ZILIZOPELEKEA WAKAONA ILIFAA WATU KUSOMA MASOMO MATATU,mfano hapo nyuma kidogo kuna kelele zilipigwa kuwa hata upangaji wa masomo yetu ya COMBINATION UMEPITWA NA WAKATI KULINGANISHA NA MUDA WA SASA na ndio maana sasa wameleta combination mpya KAMA CBM-chemistry,biology na mathematics NA WATU WANGEENDELEA KUFIKIRIA YALE YALE KAMA ZAMANI KWA AIKILI KAMA YAKO WASINGEKUWA WAMELETA MAGEUZI HAYA LEO.
pia nguli wa sayansi duniani anaejulikana kama THE FATHER OF SCIENCE SIR ISAAC NEWTON alisema"anything in science can be proved or disproved"KWA HIYO HATA LEO INAWEZEKANA LOLOTE LIKATOKEA KWA AMA KUBALISHWA KABISA BAADA YA KUHAKIKI KUWA HAIKUWA SAHIHI KWA HIZO SABABU ZA MWANZO AMA KUENDELEA NA KITU KILEKILE BAADA YA KUKIHAKIKI KUWA ILIKUWA SAWA KAMA ILIVYOELEZWA KABLA
Hujajibu swali langu la msingi.Hujajibu swali langu la msingi.
Kama haya masomo yote ni basic kwa mwanafunzi anayesoma university, kama ulivyoandika mwenyewe, kwa nini unataka kupunguza wigo wa basic subjects za kuingilia university wakati mwanafunzi bado yupo A- Level ?
While at it, kwa nini utake masomo mawili A Level na sio moja kabisa? What is your criteria? What makes you say 3 is too much 2 is just enough and 1 is not sufficient?
Wewe hujajua netiquette na kwamba writing in all caps is a faux pas that makes you appear that you are shouting in hysterics halafu unataka kufundisha watu wabadili mfumo wa elimu bila sufficient reasons?
Dude still with "Stive Jobs" and "Father of Science Sir Isaac Newton". Flashing classical absolutism in a quantum probabilistic age.
That alone ought to tell you so much.
And this is the guy who wants to drop some classes?
Has he ever heard of the leaning tower of Pisa? Eratothenes?
Grab a book. Learn to spell already. Pick up some Galileo. Check your timeline.
Stive Jobs? Really?
And this is the dude that critiques the A Level system?
my aim is to be a generalist sio kujifunga bila kujua vitu vichache.mfano chuo hata wanaosoma engineering wanasoma unit ya economics and entrepreneuship
Mshinga wakati nasoma kidato cha kwanza nilianza na masomo kumi na mawili kwa maana ya Civics,Kiswahili,English,Mathematics,Physics,CHemistry,Biology,Geography,History,Agriculture,Book keeping na Commerce.
Na nikayafanyia mtihani kidato cha pili,Kidato cha tatu nikaachia mawili out of kwa maana ya Book keeping na Commerce nikabaki na 10 hadi kidato cha nne,Kidato cha tano nikapanda PCM of which nimepanda chuo kwa sababu ya physics & Maths!
Though kuna masomo ambayo nimepitia tu na kuacha ambayo naweza kusema hayakuwa na msingi wowote kwenye fani yangu ya leo ila yalinijenga kwa namna moja ama nyingine! Kwa hiyo tulaumu tu bahati yetu kutopata exposure ya kusoma abroad ambako pangekuwa na uwezekano mkubwa wa kusoma kile tu kitakachokuwa foundation yako kwenye elimu ya juu!
Ofisini nayoitumikia kuna waliosoma nje hadi level ya Masters kwenye Architecture ila tukiingia mzigoni mimi ndo naonekana as wa masters na yeye anakuwa siyo graduate! Kwa hiyo tukubaliane kwamba elimu ya bongo ina changamoto zake wakati wa kusoma ila inampa mhitimu range kubwa ya kutumia alichokisoma!
nina wasiwasi na maelezo hayo kwanza mfano ni mmoja ambao hauwakilishi elimu yote ya watu wa huko,pili kwa nini sisi mpaka leo na huo utalaamu wa bongo hatujafika popote kama kweli elimu ya wazungu ingekuwa magumashi
you seem to be so stagnant and conservative without weighing analytical thinking to have an objective turn.
be analytical and a global thinker.
all about newton and jobs were a supporting point to my argument
that we have to objectively
think in a different way to come with new things
and probably the best thing ever in science era and at the same time i had to to put a note from newton that all what is yet confined to scientific explanation may have been correctly or incorrectly analyzed and so,reasoning and questioning to the existing idea can be revised to prove wrong or correct as no legend had ever not done an error or mistake,like as before Pluto was proved to be a planet but now it has been disproved as a planet.
i am not here to show off
but i am here to argue my opinions
and so i might not be knowing anything about the tower Pisa but that worthy nothing to me
and my point and in my head there is a stockpile of many things of which you are not familiar to,
and i believe you also have many things that i don't know but that difference cant be a point to show off,
let us turn to topic though i know more about the legend GALILEO
who preceded the father of science spending 20years studying motion of which it was a mark of an easy study to newton.
TUYAACHE HAYO NA TUJADILI MADA ILA YATUMIKE KAMA MIFANO TU.
mbona Uganda tu hapo advance ni ngoma nne pamoja na gs mkuu.... tena nahisi na kwa sie hapa bongo yangeongezwa kabisa
mi nina mashaka na magreat thinkers wngne hum. huwezi kung'ang'ania kubisha tu na wakt mambo yapo wazi kabisa. mtu anang'ang'ania fulan sio father of science kwan hii ndo mada? by the way unaposema father of science haimaanish kuwa hakukuwepo na science kabla yake but appreciates how one is so competent in it mfano tunaposema baba wa amani haimaanish kuwa hakukuwepo na amani kabla yake. pia mtoa mada hawashabikii wale waliosoma nje coz wanaweza kwenda huko na wakafel bt wakird hapa wakachakachua mambo wakapata ajira ktk vtengo muhm so we cant expect better results from their work done nakuanza kukosoa mifumo ya huko nje kitu muhim hapa nikujiuliza Je kujua kila kitu kidogokidogo na kufanyia kazi sekta moja ambayo hujakamilika nayo inaleta tija yoyote kwa ustawi wa taifa letu?
Wangefanya masomo 7 kwa A-Leval ingekua fresh zaidi.