Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
Mgogoro umemwathiri vipi jideKwa hiyo Ruby ndo anajua maslahi kuliko Joh Makini au Fid Q?
Au yeye pekee ndiye angelipwa kidogo kuliko wengine?
Hilo buzi linalompa jeuri likimtema ataenda kuomba msamaha tu.
Kibongo kufanya kazi na Clouds ni maslahi tosha hata kama ni bure,Kuna vijana wanavipaji unique lakini wanaishia kuwaimbia wenza wao maghettoni kisa hakuna promo.
Jide mwenyewe akipata nafasi ya pili kukutana na Clouds kwa mara ya kwanza hawezi kushupaza shingo.
Huu mgogoro umemuathiri sema ndiyo hivyo tena.
Clouds walianza Tanzania nzima!!!?? Unawrza kuwa ni MattercoreRedio ya mkoa mmoja kwa msanii mwenye malengo ya kutoboa BET itamsaidia nini?
Unadhani watz wangapi husikiliza online au kupitia madish yao luningani?
Hahaaa hii maana ya surprise sasa inaanza kupoteza ubora , yaani Ruby awe surprise kwa mashabiki hahaa[emoji3] [emoji3]Me nahisi hiyo ni kiki tu huenda akawa moja ya surprise fiesta ikienda Dodoma au mayb Mbeya....kama Kiba alivyokua surprise kwa watu wa Mwanza....
NB; Clouds walisema kila mkoa utakua na surprise yake!!!!
Clouds walianza Tanzania nzima!!!?? Unawrza kuwa ni Mattercore
Mgogoro umemwathiri vipi jide
Labda kama hujui kuwa like bifu lake limemuongezea sana kipato chake
Mimi bnafs kabla ya beef sikuwahi kuhudhuria show ya jide, ila ilipokuja beef kipind kike ngwea kafariki nilienda kushoo love kwake
Hahahaha we jamaa bhana ila ukweli ni kwamba mgogoro wa jide na clouds umemrudisha nyumba japo alijitaidi kupambana nao,You're not serious acha nikupuuze.
Wewe kwenda kwenye shoo moja ndiyo umemuongezea kipato?
Inaonekana hufuatilii hata music wa nchi hii.
Hahahaha we jamaa bhana ila ukweli ni kwamba mgogoro wa jide na clouds umemrudisha nyumba japo alijitaidi kupambana nao,
Jide alikuwa na bendi na mgahawa sasahivi havipo.
Ukweli ni kwamba kiushahidi wasanii wengi waliogombana na clouds hawapo kwenye chart
kama hela hiyo noumahata kama hana ndo ulipwe laki moja? si bora akawe muhudumu mango garden?
We huelewi jide hajawahi kishuka kimuziki tangu ahombane na clouds na kuhusu huo mgahawa na bendi alivipumzisha kwa sababu ya mgogoro wake na gardener maana G alikuwa anataka wagawane Mali ambazo jide kazichuma kwa jasho lake , hiyo ndo sababu ya jide kutaifisha hizo Mali kijanja ,, yule mwanamke ni untouchable hayumbishwiHahahaha we jamaa bhana ila ukweli ni kwamba mgogoro wa jide na clouds umemrudisha nyumba japo alijitaidi kupambana nao,
Jide alikuwa na bendi na mgahawa sasahivi havipo.
Ukweli ni kwamba kiushahidi wasanii wengi waliogombana na clouds hawapo kwenye chart
Labda kama anataka afanye show dsm na pwani pekee apo sawaaegemee Efm
Recent Surveys za viewership zinaiweka efm far ahead to clouds
Kwa taarifa yako fiesta wasanii almost wote hulipwa saw a utofauti unakuwa mdogo sana, wasanii wetu hawajiamini watu wametajirikia kwenye migongo yao kwa kutokujielewa na kujiamini.na huyo diamond hata Leo clouds wakimtaka kumtumia wanamtumia japo hawezi lipwa km anavyolipwa young killer au ruby Ila hawamlipi 50mils per show!!never!!!
Labda kama anataka afanye show dsm na pwani pekee apo sawa
Clouds ni ngumu kushuka hawa jamaa ni wabunifu tofauti eatv na radioHujui soko la muziki liko wapi kamanda?
Kuna eatv na wengine
BTW ufalme wa clouds unaelekea kuisha.....Ndani ya miaka miwili ijayo hawatakuwa na ubavu tena
Clouds ni ngumu kushuka hawa jamaa ni wabunifu tofauti eatv na radio
We angalia hata matamasha wanaoandaa clouds na east africa utaona utofauti katika mafanikio.
East africa wamejaribu kuwashusha clouds wamechemka hata watangazaji wao wazuri wamekimbilia clouds
Labda efm maana nasikia karibu watazindua tv yao pia na wakajitanua mikoani wanaweza kupambana na clouds
kwa ruge alisarenda kamanda sugu, sembuse ruby,Wansemaga hivyo hivyo mwisho wa siku wanaenda kuwapigia magoti