Hawajui tena hao watoto wa kiume bogas kabisa clouds sio ya lazima sana tusidanganyane kwanza siku iz tuna mitandao unaweza toka au kama vipi piga mishe zingine tuu unapoteza mda unaishia kupanga nyumba mpaka una miaka 50 upuuzi mtupuWe unaongea tu hujui usione wasanii wote wanaokubaliana na matakwa ya clouds kwamba ni wajinga wanajua wanachokifanya clouds ukifanya nao bifu na wakati huo hujajiweka vizur kimziki wanakutoa kwenye ramani, jide ni untouchable ndo maana walishindwa ,, kina Weusi, fid Q ,n.k usiwaone ni wajinga kuwa pale wanajua nn wanafanya.. Haya sasa huyo ruby Hana hta vinyimbo 5 kashaanza kujishebedua anataka alipwe million 10??
Umeonaee mkuu tena ukute hata kujutia anajutia [emoji3] [emoji3] [emoji3] msanii wa kibongo uliyetoka kupitia clouds unaleta nyodo bila hao clouds kumpaisha si tungemjulia wapi , afu et anawaletea nyodo, shauri yake ruge hajaribiwiWansemaga hivyo hivyo mwisho wa siku wanaenda kuwapigia magoti
Hiyo ilikuwa zamani, wanazungushwa kwenye Coaster nchi nzima kwa Laki 2. Ukigoma nyimbo zako hazipigwi. Kina Sugu waliwakataa mapema hawa wanyonyaji.Wansemaga hivyo hivyo mwisho wa siku wanaenda kuwapigia magoti
we muache ajishebedua na kama kuna watu walimvuta mapembe itakula kwake!!Being underpaid is one thing,and being ''commando'' is another different story,...Asije tu akafungwa na mkataba waliowekeana awali(kama upo in the first place)..She is obliged to abide by contractual terms and conditions,or else........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka Sana, yaani et ruby naye anataka alipwe Kama kina weus n.k, kwa nyimbo zipiBaada ya kick kuisha..Nimeamua kurudi clouds maana wao ndio waliofanya Watanzania wakanijua,kwakweli clouds imenilea mpaka kufikia hapa sina cha kuwapa.
si bora wasipinge tu ,tu afanye maisha mengine? kama mziki haulipi kwanini ulazimishe kuwa na jina wakati unateseka mjini? wasafii wa bongo akili hawanaHiyo ilikuwa zamani, wanazungushwa kwenye Coaster nchi nzima kwa Laki 2. Ukigoma nyimbo zako hazipigwi. Kina Sugu waliwakataa mapema hawa wanyonyaji.
Clouds inapoteza umaarufu. Dar EFM inatawala, Mwanza Jembe FM.
Zile zama za kupigiwa magoti zinekwisha. Si mliona Bentley la Kusaga linapigwa mnada na TRA sasa ngojeni ule mjengo wa Mikocheni siku si nyingi mtaona unapigwa mnada na Bank.
unamkumbuka saida karoli..watu wamemla wee katupwa kulehongera sana rubyy wasanii wote mkiwa kama huyu binti itafika mahali hiyo redio itawaheshimu sio kazi mfanye ninyi halafu muishi watakavyo! by the way stations ni nyingi mtatoka tu! kila mtu keshawajua roho mbaya zao hawana muda.
Ila kumbuka hapo ruby analalamika kwamba price ndogo, sasa alipwe mil. 10? Kwa nyimbo ngapi alizotoa yaani hako kadada kanaleta nyodo while tumekajua kupitia cloudsHawajui tena hao watoto wa kiume bogas kabisa clouds sio ya lazima sana tusidanganyane kwanza siku iz tuna mitandao unaweza toka au kama vipi piga mishe zingine tuu unapoteza mda unaishia kupanga nyumba mpaka una miaka 50 upuuzi mtupu
ukweli utafahamika tu,....ni suala la mudawe muache ajishebedua na kama kuna watu walimvuta mapembe itakula kwake!!
kwa nn alisaini mkataba?hawa wasanii uchwara hawaaa!!
Kama huwezi kujivalue mwenyewe nobody will ndugu yangu jifunze kuwa bold itakusaidia clouds ni nani bwana??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka Sana, yaani et ruby naye anataka alipwe Kama kina weus n.k, kwa nyimbo zipi
Yaani Mimi nawashangaa hawa wasanii wanaitegemea clouds lkn bado wanajishebeduawe muache ajishebedua na kama kuna watu walimvuta mapembe itakula kwake!!
kwa nn alisaini mkataba?hawa wasanii uchwara hawaaa!!
Hahahaha!eti we aku ntamwambia mama..ntamwambia mama unanisumbua..yan wabongo hawaishi vimbwenga.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka Sana, yaani et ruby naye anataka alipwe Kama kina weus n.k, kwa nyimbo zipi
ishakula kwake ruby!!na hao wanaomsapoti sio kama tunaunga mkono malipo madogo ya clouds Ila kwa nn alisign contract?ukweli utafahamika tu,....ni suala la muda
Hiyo ni hoja nyingine.si bora wasipinge tu ,tu afanye maisha mengine? kama mziki haulipi kwanini ulazimishe kuwa na jina wakati unateseka mjini? wasafii wa bongo akili hawana
kakiuka mkataba wa makubaliano!Yaani Mimi nawashangaa hawa wasanii wanaitegemea clouds lkn bado wanajishebedua
Hahahaha!eti we aku ntamwambia mama..ntamwambia mama unanisumbua..yan wabongo hawaishi vimbwenga.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka Sana, yaani et ruby naye anataka alipwe Kama kina weus n.k, kwa nyimbo zipi