Umeongea fact mkuu[emoji122] [emoji122] [emoji122]Kwahiyo hadi anaanza ku-post mapicha Instagram akichelekea Fiesta bado tu alikuwa hajagundua kwamba mkataba ni wa Kimangungo?
View attachment 386682
View attachment 386681
Au unataka kusema na wakati anaandika yote hayo tena with excitement bado alikuwa amesimamiwa na media? Au unataka kusema wakati ana-saini mkataba alikuwa hajausoma hata kwa kuuperuzi na hata wakati anaandika yote hayo alikuwa hajasoma? Kama ndiyo; sasa hilo ni tatizo la Clouds la kwake yeye mwenyewe?!
Wakati wewe unawakejeli wanaomponda Ruby ni wale waliopandikizwa mbegu za masiaha ni hadi kuajiriwa; nawe pia na wenzako ni wale wasiofahamu nini maana ya mikataba! Kutosoma mkataba ni ujinga kama sio upu'mbavu wa aliyepewa mkataba na sio aliyetoa mkataba! Na kutosoma mkataba haiwezi kuwa excuse hata siku moja zaidi ya ku-reveal ujinga wa muhusika!
By the way, sasa suala la EFM linaingia vipi kwenye mjadala wa Clouds na EFM?! Waambieni EFM wafanye kazi badala ya kutaka kushindana na Clouds; ni ujinga uliopitiliza! EFM ni EFM na Clouds itaendelea kubaki kuwa Clouds! Acheni kuleta mambo ya Bongo Flavor... mada ya Diamond unakuta mtu bila sababu za msingi analeta habari za Ali Kiba and vice versa!
Mimi ndo huwa sielewagi kabisa alafu unakuta ni "me"I hate huo uandish yani ukiandika hvyo sikujibu hata km unakata roho!
Mtandaoni wa Tizneez ametoa exclusive ya kwanini Msanii Ruby hakuonekana Mwanza wala kupanda katika jukwaa la Fiesta wakati alikuwa mmoja wa wasanii waliosajiliwa...
Hivi Ndivyo mtandao huo ulivyoandika;
========
Exclusive Ruby Amezungumza mengi ila kati ya machache ni "Maslahi yamenifanya nisiende kwenye Fiesta, Kisa ni Clouds ndio nisiwe free na kuongea, end of the day it's not about clouds it's about my future.Katika shindano la super diva ilikuwa super diva mshindi atafanya Fiesta, wakati umefika lakini ntafanya Fiesta for nothing?
Mimi sitaki kuongelea price ambayo naipata sababu nahisi nikiongea sijui watu watajiskiaje ukubwa wa show ulivyo. ...Tunakuwa na menejiment ambazo zinaendesha wasanii kimabavu, unadhani kwanini @jidejaydee wanamuita komando?? alisema hayo rubby
Nini maoni yako?
Acha kujitoa ufahamu wewe! Mwenyewe ameandika nini hapo nilipo-underline kwa rangi ya blue? Yaani unataka kubishana hata na mwenyewe? We jamaa ni mtu wa ajabu sana!!!Hizo zote ni speculations tu wewe ulimuona akisign huo mkataba!!?au huo mkataba uliuona!?au ndo kusikia tu redion clouds wakifanya promo!?
Utake usitake ukiitaja clouds lazima tuitaje Efm likija swala la entertainment, kibongobongo kunawasanii kibao hiyo clouds hawajui hata ikowapi lakini wametoboa, hao kina shoro mwamba na kina manfongo unaowaona clouds wanawashobokea leo walitoboa bila hata support ya hiyo clouds yenu.
Ruby sio Nyumba kama hao Nyumba wengine...
sijaona ukipiga nae picha huyu dada- Tatizo ni kwamba ilikuwa ni bora kwake kwenda Fiesta na Clouds hata bure kuliko kukataa hela ndogo kama anavyodai cause sio Big Star hajafikia uwezo wa kuwa na Show yake mwenyewe usiku mzima ana wimbo mmoja tu na amefikishwa hapo alipo na hao hao anaowakataa, sometimes hawa watoto wanakosa sana ushauri wa maana kwa status yake ilikuwa bora hata angeenda na Fiesta bure ili ajitangaze kuliko kuwatukana au ingemsaidia kujifanya mgonjwa asiende kuliko kuwatukana kama alivyofanya cause very soon atagundua kwamba hakuna wa kumsaidia zaidi ya hao hao aliowatukana,
- Sikushangaa sana kusikia haya ni msichana anayejiona yupo juu sana hata ukikutana naye one on one ana tabia za kujiona baab kubwa sana wakati sio kabisa, namuonea huruma sana cause huenda ndio amefikia mwisho wa career yake kwenye music hapa!!
le Mutuz
Duh! Umeonyesha msisitizo dada yangu hapa kiukweli inakera sana.I hate huo uandish yani ukiandika hvyo sikujibu hata km unakata roho!
Kumbe tupo wengi maana unabaki kushangaa hizi herufI zimegeuka au nini?Ndo uandishi gani huu[emoji15] [emoji15]
siupendi kwa kweli hauna haiba!Duh! Umeonyesha msisitizo dada yangu hapa kiukweli inakera sana.
Ndio hivyo kuna watu wanalazimisha kuzibatiza hizi herufi x=s .siupendi kwa kweli hauna haiba!
upuuzi tu!Ndio hivyo kuna watu wanalazimisha kuzibatiza hizi herufi x=s .
Usijidanganye...Hawajui tena hao watoto wa kiume bogas kabisa clouds sio ya lazima sana tusidanganyane kwanza siku iz tuna mitandao unaweza toka au kama vipi piga mishe zingine tuu unapoteza mda unaishia kupanga nyumba mpaka una miaka 50 upuuzi mtupu
HUYO dogo vita aliyoianzisha haiwezi... awaulize wenzie waliowahi kugombana na cloudsThese dudes Clouds japo watu tunawachukia. Lakini, kwa hili la Ruby naamini ni msanii mwenyewe kajiona amekua level sawa na wasanii wakubwa aliowakuta ktk industry. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Kwa mara ya kwanza naitetea redio ya Mh. Joseph Kusaga.
Mimi wananiboaga SanaKumbe tupo wengi maana unabaki kushangaa hizi herufI zimegeuka au nini?
Ndio maana kasema huyo Dada anaringa/anajisikia sbb inaonekana hakutaka shobo za kupiga picha na ze akili kubwa.sijaona ukipiga nae picha huyu dada
Kama alisaini mkataba inamaana huo mkataba haukuonyesha kiasi cha malipo?we muache ajishebedua na kama kuna watu walimvuta mapembe itakula kwake!!
kwa nn alisaini mkataba?hawa wasanii uchwara hawaaa!!