Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
hata kama hana ndo ulipwe laki moja? si bora akawe muhudumu mango garden?kuwa komando si mchezo,sifa anazo?
kwaiyo ni sawa apokee laki moja?Mmmh ruby naye anajiweka kwa jide? Haya yetu macho isije tukaskia ameenda kumpigia magoti ruge ili nyimbo zake zipigwe , Jide ni komando wa kike bongo hakuna mwanamziki wa kike mwenye msimamo Kama wake, huyo ruby anayetengeneza kiki kila akitaka kutoa wimbo mpya ndo naye anaweka bifu na mawingu? Mmh ngoja tuone, mie ngoja nipite na zangu[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
kwaiyo ni sawa apokee laki moja?
Hiyo laki moja kaitaja nani mbona yeye hajaongea kuhusu kiwango alichoahidiwa kulipwakwaiyo ni sawa apokee laki moja?
Si ndo hapo Mimi nimesema isije akarudi kumpigia ruge magotikuwa komando si mchezo,sifa anazo?
nimemuuliza huyo mdau maana kajibu as if yule anatakiwa apokee hela yoyote kwa vile clouds walimtoaHiyo laki moja kaitaja nani mbona yeye hajaongea kuhusu kiwango alichoahidiwa kulipwa
maisha ni pesa kama hakuna pesa bora hujaribu mambo mengine bwana ataenda efmmh Ruby ubavu wa kutunishiana na Clouds anautoa wapi? ngoja tuone mwisho wake, wanasema ivyo mwisho tunawaona wanaenda kupiga magoti.
Being underpaid is one thing,and being ''commando'' is another different story,...Asije tu akafungwa na mkataba waliowekeana awali(kama upo in the first place)..She is obliged to abide by contractual terms and conditions,or else........hata kama hana ndo ulipwe laki moja? si bora akawe muhudumu mango garden?
We unaongea tu hujui usione wasanii wote wanaokubaliana na matakwa ya clouds kwamba ni wajinga wanajua wanachokifanya clouds ukifanya nao bifu na wakati huo hujajiweka vizur kimziki wanakutoa kwenye ramani, jide ni untouchable ndo maana walishindwa ,, kina Weusi, fid Q ,n.k usiwaone ni wajinga kuwa pale wanajua nn wanafanya.. Haya sasa huyo ruby Hana hta vinyimbo 5 kashaanza kujishebedua anataka alipwe million 10??hata kama hana ndo ulipwe laki moja? si bora akawe muhudumu mango garden?
Kwani kakwambia ameambiwa laki moja?kwaiyo ni sawa apokee laki moja?
tatizo hawana misismamo wangapi tumeona wanaongea ivyo lakini mwisho wa siku wanarudi Clouds, hata Jide alijipanga kwanz, sio kwa hizo nyimbo tatu sijui uanze kujifanya unatunishiana nao misuli.maisha ni pesa kama hakuna pesa bora hujaribu mambo mengine bwana ataenda efm
kuna kitu efm mjini bwanaSafi sana ruby atambanana hivo hivo na kutoka tu clouds kitu gani bwana
Sio hawana hela mkuu wanamlipa MTU kulingana na ukubwa wa jina lake au nyimbo zake, weusi hawawez lipwa Kama ruby, naye huyo ruby anataka alipwe mamilioni kwa nyimbo gani?he e he Clouds hawana hela