Mashine za Welding bei nafuu

benbry

Senior Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
183
Reaction score
55
Tunatengeneza na kuuza mashine za kuchoma chuma na kuchaji betri za magari. Mashine zetu ni imara na zina garantii ya muda mrefu. Tuna uzoefu wa kazi hii takriban miaka 20.

Bei zinaanzia 280,000 na kuendelea kulingana na ukubwa na uwezo wa mashine.

Tunapatikana DSM, Ubungo Maziwa, Kampuni inaitwa ALS.

Simu 0713 322 856

Nunua mashine yako ujiajiri.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunatengeneza na kuuza machine zifuatazo;
Kuchoma chuma (welding)
Kuchoma alluminium.
Kuchaji betri (battery chargers)

Mashine zetu zinahimili kazi ngumu na hazipati moto, zina guarantee ya muda mrefu.

Bei inaanzia 300,000/-

Kampuni inaitwa ALS
Tunapatikana Ubungo DSM,

Simu 0713322856

Anza leo kumiliki kijiwe chako
Karibu tukuhudumie.
Mikoani tunatuma.
DSM tunafanya delivery.View attachment 1442391


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…