NAJIDAKIA STORE
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 261
- 126
sasa zipate mashine za juisi ya miwa imara na bora mtu mmoja anaweza kuendesha na hata mdada anaweza kuifanyia Kazi
mashine ina sifa ya kuchuja yenyewe juisi yako
mashine ni rola tatu huna haja ya kurudia rudia katika kukamua juisi yako,
yote ni kujali usafi pia mfumo Wa umeme ni huu Wa majumbani yaani single phase
Zipate Kwa million moja na Laki mbili tu lolote tupigie 0762612213 tupo Dar es salaam
View attachment 1104131View attachment 1104133
Zinazotumia Genereta hamna?
Million moja na Laki mbili tu zinachuja zenyewe lolote 0762612213Ungeweka bei, ungepunguza maswali
Nitakucheck kesho nawaza project hiiMillion moja na Laki mbili tu zinachuja zenyewe lolote 0762612213
Karibu sana Mkuu 0762612213Nitakucheck kesho nawaza project hii