Ni kweli tutaanzisha biashara kwa kutumia machine uliyoipendekeza. Ila ni vyema ukatoa specs zake kama make, uwezo, inatumia nishati gani nk. Sifa pekee kubwa uliyoipa ni kwamba haitumii umeme lakini inaweza kuwa inatumia msuli kupita kiasi hii ikaleta shida na ikaonekana bora ingekuwa inatumia umeme.