Mashehe waikataa katiba ya Sitta

Shukrani A. Ngonyani

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2014
Posts
1,182
Reaction score
2,021
Ni mashehe wameikataa rasimu ya Sitta, mashehe hao wakiwa chini ya jumuia na taasisi mbalimbali wametoa tamko hilo jana mjini Dar es salaam.

Watangaza kuzungukia misikiti Nchi nzima kuwashawishi waislamu kupiga kura ya hapana pindi rasimu hiyo ikifika mtaani kupigiwa kura.

My take: kama rasimu ya Sitta ikipita ktk kura ya ndio na hapana nitajua kweli CCM wana sarakasi na mbinu za kimafia.


Chanzo: Mtanzania
 
Hawa ndo wanaume siyo wale mnaowajua walionunuliwa na Ccm.
 
Haohao hata rasimu ya warioba wangeikataa na watu mngewaponda humu.
 
Inapoandaliwa katiba mgawanyiko mkubwa kama huu sio ishara nzuri kabisa. Maridhiano ni muhimu....sita ondoa pamba masikioni la sivyo utakumbukwa kwa mabaya na vizazi vijavyo.
 
Hivi ina maana waislamu miaka yote hawajajua hila za ccm ....maana asilimia kubwa ndo wanaiinga mkono na ushahidi upo wazi....kuna shida mahali
 

Nililitegemea hili. WATU wameshachukua mapene ya kutosha na hawana hofu tena. Kosa walilofanya kubwa ni kubadilisha kanuni ili upigaji kura uwe mwisho na kwa pamoja hayo ndo yatakuwa mavuno waliyoyakusudia tena nasikia wajumbe waisllam watapiga kura ya wazi ili wananchi wajihesabie kura wenyewe, hapa ndo CCM itajua fedha si mtaji wala msingi wa maisha.
 
No consensus no constitution. Naisubiria kwa hamu hii mechi .
CCM vs UKAWA = ?
CCM vs TUME YA WARIOBA= ?
CCM vs WAISLAM = ?
CCM vs WANANCHI = ?
My take: CCM ni janga la dunia. Tushirikiane kuitokomeza.
 
ccm inaongozwa na akili za wachache na wanaobakia ni kushabikia ila mwisho wao upo karibu
 
Katika ilani yao ya uchaguzi wa 2010 maccm waliwalaghai waislam kwa kuweka uanzishwaji wa mahakama ya kadhi ili waislam wawapigie kura. Sasa kwenye marekebisho ya katiba ya 1977 mashehe wa BMK ya maccm baada ya kula posho ya 300,000 wanataka kieleweke juu ya mahakama hiyo.
 
Hakuna mahakama ya kadhi kwa sisi waislam hakuna katiba mpya.

Liko wazi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…