💥MASHAMBA YANAUZWA💥
Yapo Kibaha-Madafu
1.5km toka Morogoro Road
Umeme na Maji viko 0.5m toka mashamba yalipo...
Zipo heka 5 na zinauzwa kuanzia heka 1 kwenda juu na sio chini ya hapo..
Vina karatasi halali toka Serikali ya Kijiji ambayo inatambulika na Serikali ya Mtaa pia(HAYAJAPIMWA).!!
Mnunuaji unatakiwa uje na picha za Passport Size 2 siku ya kununua.!!
NYOTE MNAKARIBISHWA
***Bei ni 1.8m Kwa Heka***
Kwa maelezo zaidi... Piga 0714009817