Hao ni waswahili ndo zao..maneno mengiiiWachezaji wa Yanga walitembea kwa miguu kutoka Uhasibu hadi uwanjani. Ingekuwa Simba wamefanya hivyo, kelele zingekuwa nyingi sana
👋 mtani sister kalpanaHao ni waswahili ndo zao..maneno mengiii
Mkuu wakati mwingne tukubali kuwa utopolo Wana timu bora sana,tukiendlea kuamini kuhusu uchawi tutashindwa kujua mapungufu yetuKweli ile mechi yanga walituzidi uchawi, simba ilicheza na misukule kwa sura halisi za wachezaji wa Yanga
Mkuu najua hilo,majamaa wapo vizuriMkuu wakati mwingne tukubali kuwa utopolo Wana timu bora sana,tukiendlea kuamini kuhusu uchawi tutashindwa kujua mapungufu yetu
Kiukweli Ile mechi inaonekana ushindi wa Yanga ulikuwa mwiba Kwa mamlakaNimefurahishwa sana na adhabu iliyotolewa kwa Kibu Dennis, Henock Inonga na Djugui Diarra kwa kushangilia maeneo yasiyowahusu.
Hii tabia inaweza kumsababishia mchezaji kutupiwa mawe, makopo ya maji, na kuumizwa kwa sababu tu ya upumbavu wake.
Ila pia sijafurahishwa na hiyo adhabu kwa mwamuzi Emmanuel Mwandembwa. Kwa sababu alijitahidi kuchezesha kwa kufuata sheria 17 za soka! Ukiondoa mapungufu madogo ya kumpa kadi ya njano mchezaji asiyehusika.
Na kama sababu ya kufungiwa kwake ilikuwa ni kutompa kadi nyekundu Aucho, kutokana na kitendo cha kitoto kilichofanywa na Ajibu! Bado nitaendelea kuamini hiyo Bodi ya Ligi ipo kwa ajili ya kuinufaisha timu fulani, huku Yanga ikiwa si sehemu ya hiyo timu.
Na kama sababu ya kufungiwa kwake ilikuwa ni kutompa kadi nyekundu Aucho, kutokana na kitendo cha kitoto kilichofanywa na Ajibu, na kusababisha Aucho amsukume na kiwiko chake cha mkono! Bado nitaendelea kuamini hiyo Bodi ya Ligi ipo kwa ajili ya kuinufaisha timu fulani, huku Yanga ikiwa si sehemu ya hiyo timu.[/I]