Masaada CBG

Walec

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,364
Reaction score
3,407
Wakuu habari zenu...bila shaka Vyuma vinalegea taratibu..

Kuna dogo hapa jirani amemaliza CBG mwaka huu...

Sasa alikua ana dream za kusoma afya ya binadam,ila tunajua CBG walivyo pigwa pin hapo

Sasa dogo amedata..na hana uhakika ni fani ipi tena achukue...Jana alinipa list yake kama ifuatavyo

1 Food science and Technology

2 agro business

3 Bachelor of Veterinary medicine

4 Biotechnology and laboratory sciences

5 Enviromental science and Management

Msaada wenu wakuu kweny hizo choice zake vipi zinalipa? Kweny ajira au hata kujiajir..

Hata kama kuna course nje ya hzo atazoweza soma na zipo vzur bas naomba mziweke hapa..amepata Chem E, Bio C,Geog D
 
Kuna course ya afya ya Environmental Health anaweza akapata na ni nzuri pia kama ataipenda
 
Aje BAF, mzumbe main campus ...akimaliza akachukue CPA yake
 
Aje BAF, mzumbe main campus ...akimaliza akachukue CPA yake
Watu kama nyie, mnafanya watu wanajuta ukuu vyuoni,,,,, watu wa hkl wanachukua ma koz ya taxation IFM,, uliza yanayowakuta,,,, chukuen koz zinazoendana na comb zenu
 
Hiyo namba tatu itoe kwenye list, sasa hivi BVM wanachukua PCB kama MD
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…