MARRIAGE IS ALMOST HERE,but kazi za nje hazitaki kuelewa!NIENDELEE AU NISIENDELE NAO?

Hahahahaha,masikini Xpin wangu,namuweza mie tu jamani!Kweli Mungu alimuumbia kila mtu ubavu wake
Afu una bahati kweli kunipata. Wamenigombea weeeeeee! Hakuna aliyefanikiwa. Wewe yani ile siku nilivokuona tu, habari ikaishia hapo hapo. Yu knoo woram seyyying?
 
Afu una bahati kweli kunipata. Wamenigombea weeeeeee! Hakuna aliyefanikiwa. Wewe yani ile siku nilivokuona tu, habari ikaishia hapo hapo. Yu knoo woram seyyying?
kama kawaida UMEKULA SENKSI!......zd alinisumbua sana wakati anakutongoza!
 
Afu una bahati kweli kunipata. Wamenigombea weeeeeee! Hakuna aliyefanikiwa. Wewe yani ile siku nilivokuona tu, habari ikaishia hapo hapo. Yu knoo woram seyyying?

kwi kwi kwi,yes i knoo ma dia.ni vile na mimi nakupendaga sana weye!
 
hahahaa,shemeji hizo siri za ndani huwa hatuongei mbele za watoto.Stuka.
ha ha ha ha!sore ngoja nimalizie umbea ili twende sawa!...ulikuwa unamuhonga sana hela

jamaa akalewa!
ha ha ha ha
 
Hehehehe! Hahahaha! MPWAAAA? MPWAAAA! Nimetongozwa siyo? Hahaha! Nimecheka nusu nizimie!
he he he he!
wacha bana!wewe bana umemsumbua sana zd...!na staili yako ya kung'ata vidole!
NIGONGEE SENKSI TAFADHALI
 
ha ha ha ha!sore ngoja nimalizie umbea ili twende sawa!...ulikuwa unamuhonga sana hela

jamaa akalewa!
ha ha ha ha

Yani hapa ndio umeua kabisa yani,Kwa hiyo xpin bushoke? au serengeti boy?hapana shem,mapenzi yetu natural,gift from God.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…