MARK II GX 100: TSH 3.7ML

CHEBEPE

Senior Member
Joined
Sep 3, 2018
Posts
103
Reaction score
62
Nauza hii, (mnyama) naitumia mwenyewe
1G kavu engine.... Haijafunguliwa
Full AC
Clean na haina uchakavu ndani
New bettry
Matairi mazima kabisa na spea yake
Automatic door locking
Mziki mnene: Redio nzuri:, screen touch, booster, flashdisk option, sd card option, play dvd/cd.
Bima hai hadi July
Mafuta inatumia wastani ila long safar inatumia vizuri zaidi.
Comfortable... Haigongi chini.. Means shockups nzima.
BEI sh 3,700,000

Nipo kimara, kuiona nichek 0754734009
 

Hivyo
 
Duuu wabongo Mungu anawaona mjue. Gari unauza husemi ya mwaka gani wala millage zake .hapo ukilipia unataka nalo kichwani na mkataba umeisha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…