Watanzania ufike wakati tujifunze kukubaliana kuwa kitu hiki kimeisha, kimemaliza thamani yake kikiwa mkononi mwangu. Kisha tukijua hivyo hili tangazo lingekuwa hivi:-
Spea za gari zinauzwa, ukinunua gari hii utapata spea kama vile .....,.....n.k
Lakini kudanganya watu mara injini mpya mara nini ni dhambi. Hivi bei ya injini mpya hata ya bajaji unaweza kuipata kwa million 3.5?