Duniiani amani itakuwa kitu adimu sana Kama Marekani haitabadili mfumo wake wa uuzaji silaha katika Mataifa ambayo wana waita washirika wake. Kite do cha Marekani kuiuzia silaha Saudi Arabia halafu silaha hizo hizo kupatikana Libya mikononi mwa Wapinzania wa serikali ya Libya in kichochea kikubwa cha uvunjifu wa Amani.
Ikumbukwe kwamba mpinzani General Khalifa Haftar alifanya ziara nchini Saudi Arabia