baunsa wa kike
Member
- Jul 25, 2014
- 83
- 36
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shida itakuja wkt wa kurudi..mwingine haondoki mpk bar ifungwe and kumuamin mtu akuendeshe huku kashatupia kilevi ni changamoto kwa kweliSasa tutoke kila mmoja na gari lake kama tupo 6 si utakuwa msafara wa JPM....
Kama tupo 6 twende na Lyimo moja....ila kwenye matumizi kila mmoja afe kivyake.
Haya mambo yanakera pale unakuta wa3 wapo na babes wao huku wengine mpo single....
Mzee ntaomba lift kwenye gar lako maana boda boda haziruhusiw mjinSasa tutoke kila mmoja na gari lake kama tupo 6 si utakuwa msafara wa JPM....
Kama tupo 6 twende na Lyimo moja....ila kwenye matumizi kila mmoja afe kivyake.
Haya mambo yanakera pale unakuta wa3 wapo na babes wao huku wengine mpo single....
Ha ha ha.... ujue lako ndilo nililokuwa nategemea siunajua ushakuwa shemeji vyako ni vya dadaMzee ntaomba lift kwenye gar lako maana boda boda haziruhusiw mjin
Mie siku hz nina boida boda kama vp njoo dada ako tutamuweka katkat we utaendeshaHa ha ha.... ujue lako ndilo nililokuwa nategemea siunajua ushakuwa shemeji vyako ni vya dada
[emoji1] [emoji1]Mie siku hz nina boida boda kama vp njoo dada ako tutamuweka katkat we utaendesha
waooh , hii iko poa sana, nifanyie mpango basi na vile napenda safari ni hatareeVyuma vimekaza, mie nina group la namna hiyo na tuko 10 ila tumesoma pamoja,. Sie hatuendi club ila tunasafiri kwenda sehemu mbalimbali au tunakutana for dinner ama lunch, Ni raha aiseee na kila mtu anajitegemea.
ha ha ha , mi mtu akiwa na bebe wake sikai nae walahi...masuala wanaanza kubembelezana mbele yangu nakasirika kinomaSasa tutoke kila mmoja na gari lake kama tupo 6 si utakuwa msafara wa JPM....
Kama tupo 6 twende na Lyimo moja....ila kwenye matumizi kila mmoja afe kivyake.
Haya mambo yanakera pale unakuta wa3 wapo na babes wao huku wengine mpo single....
sipendi ujinga asee, naweza nikuache solemba ushangaeWe kweli baunsa wa kike
Sio ishu kabisa yani, mijitu inajikausha kama haina masikioNgoja waje wale wanapenda simamia bill maana naona vyuma mkazo hadi wasimamoa bill wamekimbia.
peke yangu naboreka, namimi sio tegemezi asilimia mia, kila mtu ale chake bwanaUmejhakikishia wewe mwenyewe sio tegemezi lakini?!
Na Kuna haja gani ya kutoka wote Kama Kuna vitu hatutoshare, kwanini usiende peke yako tu.?
Unaonekana wewe ni muumini wa pesa zako Sana.
utakua ulikua unaboa kinyama"Kama vyuma kwako vimekaza lala ndani " Hi kauli imenikumbusha mbali sana wakati niko chuo kila wakati wa bata mi sina hela. Washkaji zangu walini beba saaaaaaana. Ingawa walikua wananiambia we kama huna hela lala..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]