Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,073
- 34,844
MOYO KUTANUKA
Huu ni ukinzani wa moyo jinsi
unavyo toa na kuingiza damu katika
mishipa ya moyo na kuelekea
sehemu zingine kwenye mwili.
Mara nyingi moyo ukipanuka
hupelekea baadhi ya sehemu
kwenye misuri ya moyo
kutokufikiwa na damu, hivyo
kusababisha tundu kwenye moyo au
kidonda cha moyo na baadaye
stroke
SABABU ZA MOYO KUTANUKA
Vifuatazo ni visababishi vya moyo
kupanuka;-
1. mafuta katika damu
2. cholesterol/ lehemu
3. sumu mwilini
4. ukosefu wa protini
5. msongo wa mawazo
6. magonjwa ya muda mrefu
7. shinikizo la juu la damu
DALILI ZA MOYO KUTANUKA
Ili utambue moyo buliokwisha
panuka ni muhimu kuzijua dalili
zifuatazo;-
mapigo ya moyo kwenda kasi
mara kadhaa
moyo kulipuka mara kwa mara
kuhisi hali ya mwili
kunyongonyea/ kupoteza nguvu
miguu kuwa baridi au kufa ganzi
wakati mwingine vidole kufa ganzi
na kukakamaa
maumivu kwenye moyo (heart
pain)
vichomi na kifua kubana
maumivu kwenye chemba ya moyo
MADHARA YA MOYO KUTANUKA
Yafuatayo ni madhara ya moyo
uliopanuka;.-
kuvimba miguu
miguu kufa ganzi
kupalalaizi/stroke
kidonda kwenye moyo
usipotibu na kuchukua tahadhari
mapema husababisha vifo
JINSI YA KUEPUKA TATIZO HILI
1. Kuepuka ulaji wa nyama, mayai,
maziwa ambavyo huongeza mafuta
kwa wingi.
2. usile vyakula vya kusindikwa
vina chemicals na lehemu nyingi
3. epuka mafuta ya korie, ok na
yote yatokanayo na wanyama
4. tumia mafuta ya mimea kama
alizeti, karanga, nazi, mawese nk ila
kwa kiasi kidogo
5. punguza msongo wa mawazo,
fanya mazoezi kwa muda wa dakika
30 kwa siku asubuhi na jioni
6. kula mboga za majani kwa wingi
(not dead food)
7. usitumie sukari, na chumvi
isitumike kwa wingi
UKIWA NA SWALI LOLOTE USIKOSE KUNITAFUTA KWA KUBONYEZA HAPA.Mawasiliano
Unajua kwenye medicine huwa twapenda kuongea kwa reference pls show me before cja ku attack maana umeongea mengi na umechanganya habar hapa na umejitafutia maswali mengi sana.
Yeye kaanzia hapo alipoanzia mkuu! Nafikiri wewe ungeendelea kuyafafanua kwa faida ya sote humu yale yote aliyoyaacha au kutoyaweka vyema, na sio swala la attack btn you two!
wewe kama ni kweli ni Doctor huwezi kumshambulia mtu toa na wewe ushauri wako hatupo shuleni hapa kushindana ki elimu kama unayo elimu yako na wewe toa elimu yako watu wasome sio kuja kujifanya unajuwa wakati hujuwi kitu Mkuu dr samg samahani kama nimekukwaza toa ushauri wako na dawa za kumtibu mgonjwa tafadhali usilete malumbano yasiyokuwa na faida.Mimi sio Doctor mimi ni MziziMkavu hauchimbwi dawa.Unajua kwenye medicine huwa twapenda kuongea kwa reference pls show me before cja ku attack maana umeongea mengi na umechanganya habar hapa na umejitafutia maswali mengi sana.
Kwa mtu aliyekwisha athirika tayari tiba yake ni nini?MOYO KUTANUKA
Huu ni ukinzani wa moyo jinsi
unavyo toa na kuingiza damu katika
mishipa ya moyo na kuelekea
sehemu zingine kwenye mwili.
Mara nyingi moyo ukipanuka
hupelekea baadhi ya sehemu
kwenye misuri ya moyo
kutokufikiwa na damu, hivyo
kusababisha tundu kwenye moyo au
kidonda cha moyo na baadaye
stroke
SABABU ZA MOYO KUTANUKA
Vifuatazo ni visababishi vya moyo
kupanuka;-
1. mafuta katika damu
2. cholesterol/ lehemu
3. sumu mwilini
4. ukosefu wa protini
5. msongo wa mawazo
6. magonjwa ya muda mrefu
7. shinikizo la juu la damu
DALILI ZA MOYO KUTANUKA
Ili utambue moyo buliokwisha
panuka ni muhimu kuzijua dalili
zifuatazo;-
mapigo ya moyo kwenda kasi
mara kadhaa
moyo kulipuka mara kwa mara
kuhisi hali ya mwili
kunyongonyea/ kupoteza nguvu
miguu kuwa baridi au kufa ganzi
wakati mwingine vidole kufa ganzi
na kukakamaa
maumivu kwenye moyo (heart
pain)
vichomi na kifua kubana
maumivu kwenye chemba ya moyo
MADHARA YA MOYO KUTANUKA
Yafuatayo ni madhara ya moyo
uliopanuka;.-
kuvimba miguu
miguu kufa ganzi
kupalalaizi/stroke
kidonda kwenye moyo
usipotibu na kuchukua tahadhari
mapema husababisha vifo
JINSI YA KUEPUKA TATIZO HILI
1. Kuepuka ulaji wa nyama, mayai,
maziwa ambavyo huongeza mafuta
kwa wingi.
2. usile vyakula vya kusindikwa
vina chemicals na lehemu nyingi
3. epuka mafuta ya korie, ok na
yote yatokanayo na wanyama
4. tumia mafuta ya mimea kama
alizeti, karanga, nazi, mawese nk ila
kwa kiasi kidogo
5. punguza msongo wa mawazo,
fanya mazoezi kwa muda wa dakika
30 kwa siku asubuhi na jioni
6. kula mboga za majani kwa wingi
(not dead food)
7. usitumie sukari, na chumvi
isitumike kwa wingi
UKIWA NA SWALI LOLOTE USIKOSE KUNITAFUTA KWA KUBONYEZA HAPA.Mawasiliano
Nenda Hospitali ukatibiwe ikishindikana utaniona kwa wakati wako nitakutibu kwa Dawa za Tiba za Asili Tiba Mbadala ukinihitajiKwa mtu aliyekwisha athirika tayari tiba yake ni nini?
wewe kama ni kweli ni Doctor huwezi kumshambulia mtu toa na wewe ushauri wako hatupo shuleni hapa kushindana ki elimu kama unayo elimu yako na wewe toa elimu yako watu wasome sio kuja kujifanya unajuwa wakati hujuwi kitu Mkuu dr samg samahani kama nimekukwaza toa ushauri wako na dawa za kumtibu mgonjwa tafadhali usilete malumbano yasiyokuwa na faida.Mimi sio Doctor mimi ni MziziMkavu hauchimbwi dawa.
Umesha niona nimekuwa ni kijan kwani wewe una miak mingapi kaka dr samg saa ingine mimininaweza kuwa sawa na mzee wako au baba yako mdogo wewe unaniitamimi kijana? angalia hiyopicha yangu na kisha ukadirie mimi nina miaka mingapi? kama wewe kweli ni Doctor? Tupe na wewe Faida za Moyo kutanuka Dr Samg?Sikushambulii kijana nlitaka jua source ya info zako
Sikushambulii kijana nlitaka jua source ya info zako
Cjataka mu attack its beta anambie aliko copy b4 cja comment any thng frm there
Nenda Hospitali ukatibiwe ikishindikana utaniona kwa wakati wako nitakutibu kwa Dawa za Tiba za Asili Tiba Mbadala ukinihitaji mimi wasiliana na mimi kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
Nimesha kwambia nenda kwanza Hospitali ukatibiwe usipo poona nitafute kwa wakati wako Gharama siwezi kuweka hapa ukiweza nitafute kwa kubonyeza hapa.Mawasilianogharama vipi mkuu?
au niPM gharama za matibabu ya uhakika kwa dawa zako.. ili nijue nianzie wapi.
Nimesha kwambia nenda kwanza Hospitali ukatibiwe usipo poona nitafute kwa wakati wako Gharama siwezi kuweka hapa ukiweza nitafute kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
Hata kama wewe ni Dr kweli, basi tambua kuwa na wewe pia ume copy kichwani walivyogundua watu wengine ukaitwa daktari. Huna chembe yyte uliowahi kuigundua wewe kama wewe!
Sasa kumwambia msamaria mwema kama huyu ambaye amepoteza muda wake ili kuelimisha jamiii, aelezee wapi ametoa hizo habari, ni kutomtendea haki! Nafikiri ilitakikana, ama unyamaze kabisaa ama uchangie zaidi pale penye mapungufu kwa manufaa ya jamii!
Tabia hiyo ni moja ya mambo yanayoifanya africa kuendelea kubakia nyuma kwa kila kitu!
wewe kama ni kweli ni Doctor huwezi kumshambulia mtu toa na wewe ushauri wako hatupo shuleni hapa kushindana ki elimu kama unayo elimu yako na wewe toa elimu yako watu wasome sio kuja kujifanya unajuwa wakati hujuwi kitu Mkuu dr samg samahani kama nimekukwaza toa ushauri wako na dawa za kumtibu mgonjwa tafadhali usilete malumbano yasiyokuwa na faida.Mimi sio Doctor mimi ni MziziMkavu hauchimbwi dawa.
Ni kweli mimi sio Doctor kama uanvyo sema wewe .Lakini wewe Mkuu dr samg ni doctor feki laiti ungelikuwa ni daktari wa ukweli usingenikosoa mimi nisiyekuwa doctor kama wewe unavyojidai U-Doctor wakatimpaka sasa hujasema kitu chochote kinachohusu Thread yangu niliyoweka. Wewe unajitia kunilaumu wakati hujuwi kitu wewe utakuwa ni Doctor feki sio doctor wa ukweli. Unajitia kuwalaumu Waganga wa kienyeji eti wanajitangazia kutibu maradhi ya vidonda vya tumbo, ugumba na nguvu za kiume je niambie hayo maradhi uliyoyataja huko Hospitali zenu zinazo dawa ya kuyatibu hayo maradhi? Matokeo yake munawapa dawa za sumu (Side effect) bada ya kuwatibu munawazidishia wagonjwa maradhi mengine yasiyohitaji huku mukisema munatibu watu. Angalia na soma hii Thread bonyeza hapa.Topic: Ushuhuda wa kutisha kutoka hospitali ya serikaliBora umekir mapewa ww sio dr bcz sisi muda wote tuko shule.... muda wote tuna allow akili zetu kupokea jambo jipya ungekuwa dr kuwa attacked ni jambo dogo sana ukisoma medical school ni kama jeshi fulani bcz unaandaliwa usiwe mwoga kwenye jambo dogo kama hili medical school pia makazini kuna attacks za ajabu ambazo kwenye dunia ya kawaida tungatafutiana uchawi kweli ungekuwa dr ungenielewa... kuhusu matibabu hatutibu just bcz mtu ana jambo fulani tu kuna indications mbalimbali ndio maana dr wa ukweli hapa atakupa ushairi ila matibabu utayapata ukiwa chumba cha dr labda uwe wafanya biashara mind yu hakunaga medical business ndio maana hujawahi ona kwa tv tangazo la hospital ikijinadi ati yatoa huduma nzuri kuliko nyingine labda iwe ina special kama vile ccbrt wanavyotangaza kuhudumia watu wa aina fulani ila waganga wakienyeji utawaona kila leo kwenye tv kwenye redio au kwenye magazeti wakijinadi ati watibu vidonda vya tumbo ugumba nguvu za kiume nk