Nitachelewa kupata ubuyu wa motomoto. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nitakosa raha,,usiku Utakuwa mrefu,,simu yangu huwa inanibembeleza,inanichekesha nikiingia zangu insta,WhatsApp
Alieleta smartphone abarikiwe maana imetufanya wengine tutulie majumbani,umbea tunaupiga huku tumekaa nyumbani,,,pia bila kusahau kusutana ni kwenye simu tu,kupata habari mbali mbali,,na mengine mengii
Simu kwangu ni kila kitu inanipa raha
Je we ikipotea smartphone utafanyaje utapungukiwa nin?
Kama kawaida Paap nipo hapaJose kwenye ubora wako
Hivi kwa nini na nyie wanaume wa Dar es salaam mnapenda ubuyu tofauti na sisi mnaotuita wa mikoani??Nitachelewa kupata ubuyu wa motomoto. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi nitakuwa ICUHospital kutajaa wagojwa wa smartphone fever
Hakuna asiye penda ubuyu,tunapishana aina ya ubuyu tu.Hivi kwa nini na nyie wanaume wa Dar es salaam mnapenda ubuyu tofauti na sisi mnaotuita wa mikoani??
Salute mingimingi sisterPamoja sana bro
Mwee hatutaaki washushe I we bure kabisaAliyeleta smart phone ameleta matatizo
Ofisini ufanisi 0
Watoto hawasomi muda wote wanachezea smart phone
Ujamaa ,ushirikiano katika jamii ,mtaani,ujirani umekufa
Ningekuwa rais ningepiga marufuku total ban
Na bundle zingepandishwa mb200 kwa 7000/=
Ndio mkaanzsha na kipindi cha wawadu sjui shilawadu??Hakuna asiye penda ubuyu,tunapishana aina ya ubuyu tu.
Wapo wanaopenda ubuyu kutoka kwa wasanii na waigizaji.
Wapo wanaopenda ubuyu kuhusu mambo ya siasa.
Wapo wanaopenda ubuyu kuhusu maisha binafsi ya majirani na ndugu zao.
Umenena mkuu dunia kiganjani kwakoAah connection na watu mbalimbali wa muhimu zitapotea na vile vile habari mbalimbali nitazikosa pia
Hata wewe unapenda ubuyu ndio maana kila thread upo.Ndio mkaanzsha na kipindi cha wawadu sjui shilawadu??