Hii Ni DERBY mzee baba.......hatuwezi kucheza mpira wa kwenye kitabu......hapa ndipo ubora wa viungo wanaopiga mashoot unapoonekanaWasalaam,
Wanamichezo,wadau na wapenzi wote wa soka.
Moja kwa moja bila kupindisha ni kwamba,mechi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu,
Huku baadhi ya wakazi wa Mwanza na Tanzania nzima kwa wale wapenda michezo wakisimamisha shughuli zao kwa muda,
Hatimaye mbabe kapatikana,simuiti mshindi kwasababu ushindi una tafsiri nyingi,
Namuita mbabe kwasababu Yanga na Simba kwa Sasa zote ni mbovu ila kinachofanyika ni kuwahiana tu,
Hebu fikiria,namna Yanga alivyotoa sare nyingi kiboya,yaani kilichotubeba ni idara ya ulinzi tu ikingozwa na golikipa mahiri Diarra ambaye Sina tatizo naye
So nilichokiona Leo kwenye timu yangu ya Yanga hakijaniridhisha hata kidogo wachezaji hawatulii,Wana papara forward inababaika tu,
Tumeshindwa kuifunga Simba ambayo kiungo hakijulikani,wachezaji laini laini wanagawanyika huku wakiruhusu njia za kupita.
Yaani Simba Kila akitaka kupaki basi,Yanga nayo inarudi nyuma
Timu zote zinategemea counter attack,
Kwa mwendo huu,kimataifa itakuwa ngumu sana.
Yote kwa yote hongereni Yanga kwa ushindi huku mkiwa macho kuwasubiri wagumu Azam kwenye final,japo na coast union nao si wa wabaya.
Hakuna timu ya kucheza mechi za kimataifa hapo. Kama imeshindwa kuifunga simba goli 3+ timu iliyojaza majeruhi basi itoshe tu kusema kuwa Yanga ni kakikundi ka wahuni. Yaani timu haina wachezi muhimu wa kikosi cha kwanza Napo mnaomba mpira uishe.Wasalaam,
Wanamichezo,wadau na wapenzi wote wa soka.
Moja kwa moja bila kupindisha ni kwamba,mechi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu,
Huku baadhi ya wakazi wa Mwanza na Tanzania nzima kwa wale wapenda michezo wakisimamisha shughuli zao kwa muda,
Hatimaye mbabe kapatikana,simuiti mshindi kwasababu ushindi una tafsiri nyingi,
Namuita mbabe kwasababu Yanga na Simba kwa Sasa zote ni mbovu ila kinachofanyika ni kuwahiana tu,
Hebu fikiria,namna Yanga alivyotoa sare nyingi kiboya,yaani kilichotubeba ni idara ya ulinzi tu ikingozwa na golikipa mahiri Diarra ambaye Sina tatizo naye
So nilichokiona Leo kwenye timu yangu ya Yanga hakijaniridhisha hata kidogo wachezaji hawatulii,Wana papara forward inababaika tu,
Tumeshindwa kuifunga Simba ambayo kiungo hakijulikani,wachezaji laini laini wanagawanyika huku wakiruhusu njia za kupita.
Yaani Simba Kila akitaka kupaki basi,Yanga nayo inarudi nyuma
Timu zote zinategemea counter attack,
Kwa mwendo huu,kimataifa itakuwa ngumu sana.
Yote kwa yote hongereni Yanga kwa ushindi huku mkiwa macho kuwasubiri wagumu Azam kwenye final,japo na coast union nao si wa wabaya.
Kwani mechi ambazo walicheza walileta matokeo gani ya tofauti?Hakuna timu ya kucheza mechi za kimataifa hapo. Kama imeshindwa kuifunga simba goli 3+ timu iliyojaza majeruhi basi itoshe tu kusema kuwa Yanga ni kakikundi ka wahuni. Yaani timu haina wachezi muhimu wa kikosi cha kwanza Napo mnaomba mpira uishe.
Manula[emoji777]
Kapombe[emoji777]
Mkukude[emoji777]
Chama[emoji777]
Morisoni[emoji777]
Bocco[emoji777]
Hivi chama n majeruhi kweli?Hakuna timu ya kucheza mechi za kimataifa hapo. Kama imeshindwa kuifunga simba goli 3+ timu iliyojaza majeruhi basi itoshe tu kusema kuwa Yanga ni kakikundi ka wahuni. Yaani timu haina wachezi muhimu wa kikosi cha kwanza Napo mnaomba mpira uishe.
Manula[emoji777]
Kapombe[emoji777]
Mkukude[emoji777]
Chama[emoji777]
Morisoni[emoji777]
Bocco[emoji777]
Naunga mkono hoja mkuu... Sijaridhika pia. Kuna haja ya wachezaji kujituma sana.. shida ni wachezaji..hakuna kingineWasalaam,
Wanamichezo,wadau na wapenzi wote wa soka.
Moja kwa moja bila kupindisha ni kwamba,mechi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu,
Huku baadhi ya wakazi wa Mwanza na Tanzania nzima kwa wale wapenda michezo wakisimamisha shughuli zao kwa muda,
Hatimaye mbabe kapatikana,simuiti mshindi kwasababu ushindi una tafsiri nyingi,
Namuita mbabe kwasababu Yanga na Simba kwa Sasa zote ni mbovu ila kinachofanyika ni kuwahiana tu,
Hebu fikiria,namna Yanga alivyotoa sare nyingi kiboya,yaani kilichotubeba ni idara ya ulinzi tu ikingozwa na golikipa mahiri Diarra ambaye Sina tatizo naye
So nilichokiona Leo kwenye timu yangu ya Yanga hakijaniridhisha hata kidogo wachezaji hawatulii,Wana papara forward inababaika tu,
Tumeshindwa kuifunga Simba ambayo kiungo hakijulikani,wachezaji laini laini wanagawanyika huku wakiruhusu njia za kupita.
Yaani Simba Kila akitaka kupaki basi,Yanga nayo inarudi nyuma
Timu zote zinategemea counter attack,
Kwa mwendo huu,kimataifa itakuwa ngumu sana.
Yote kwa yote hongereni Yanga kwa ushindi huku mkiwa macho kuwasubiri wagumu Azam kwenye final,japo na coast union nao si wa wabaya.
Mbona hata hizo hapo ni takataka tu... Mnatafuta vichaka sioo!!Hakuna timu ya kucheza mechi za kimataifa hapo. Kama imeshindwa kuifunga simba goli 3+ timu iliyojaza majeruhi basi itoshe tu kusema kuwa Yanga ni kakikundi ka wahuni. Yaani timu haina wachezi muhimu wa kikosi cha kwanza Napo mnaomba mpira uishe.
Manula[emoji777]
Kapombe[emoji777]
Mkukude[emoji777]
Chama[emoji777]
Morisoni[emoji777]
Bocco[emoji777]
Misimu miwili mfululizo katika ligi wakati na kufunga hao hawa kuwepo?Hakuna timu ya kucheza mechi za kimataifa hapo. Kama imeshindwa kuifunga simba goli 3+ timu iliyojaza majeruhi basi itoshe tu kusema kuwa Yanga ni kakikundi ka wahuni. Yaani timu haina wachezi muhimu wa kikosi cha kwanza Napo mnaomba mpira uishe.
Manula[emoji777]
Kapombe[emoji777]
Mkukude[emoji777]
Chama[emoji777]
Morisoni[emoji777]
Bocco[emoji777]
Au sio?Hakuna timu ya kucheza mechi za kimataifa hapo. Kama imeshindwa kuifunga simba goli 3+ timu iliyojaza majeruhi basi itoshe tu kusema kuwa Yanga ni kakikundi ka wahuni. Yaani timu haina wachezi muhimu wa kikosi cha kwanza Napo mnaomba mpira uishe.
Manula[emoji777]
Kapombe[emoji777]
Mkukude[emoji777]
Chama[emoji777]
Morisoni[emoji777]
Bocco[emoji777]
Kolo moja kasoro mkiaWasalaam,
Wanamichezo,wadau na wapenzi wote wa soka.
Moja kwa moja bila kupindisha ni kwamba,mechi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu,
Huku baadhi ya wakazi wa Mwanza na Tanzania nzima kwa wale wapenda michezo wakisimamisha shughuli zao kwa muda,
Hatimaye mbabe kapatikana,simuiti mshindi kwasababu ushindi una tafsiri nyingi,
Namuita mbabe kwasababu Yanga na Simba kwa Sasa zote ni mbovu ila kinachofanyika ni kuwahiana tu,
Hebu fikiria,namna Yanga alivyotoa sare nyingi kiboya,yaani kilichotubeba ni idara ya ulinzi tu ikingozwa na golikipa mahiri Diarra ambaye Sina tatizo naye
So nilichokiona Leo kwenye timu yangu ya Yanga hakijaniridhisha hata kidogo wachezaji hawatulii,Wana papara forward inababaika tu,
Tumeshindwa kuifunga Simba ambayo kiungo hakijulikani,wachezaji laini laini wanagawanyika huku wakiruhusu njia za kupita.
Yaani Simba Kila akitaka kupaki basi,Yanga nayo inarudi nyuma
Timu zote zinategemea counter attack,
Kwa mwendo huu,kimataifa itakuwa ngumu sana.
Yote kwa yote hongereni Yanga kwa ushindi huku mkiwa macho kuwasubiri wagumu Azam kwenye final,japo na coast union nao si wa wabaya.
Hivi mechi za ligi Nako walikuwa majeruhi eeehHivi chama n majeruhi kweli?
Mlipen pesa zake
Morrison kumbe mchezaji wenu eee?
Nacheka kwa zereuuu
Subir miaka 60 Ilinmpate kombe nchi hi
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mwambie huyo.. Mechi ya derby unataka Mpira wa kwenye kitabu wa kazi gani..?? kikubwa ni kushinda wewe huoni Sasa hv kitaani tumavimba.Me nimefurahi sana kumpakuwa kolo leo ujanja kuwahiHii Ni DERBY mzee baba.......hatuwezi kucheza mpira wa kwenye kitabu......hapa ndipo ubora wa viungo wanaopiga mashoot unapoonekana
Feitoto
KDB.... man city
unajifariji tu ila kagoli kamoja kanauma mno!Hakuna timu ya kucheza mechi za kimataifa hapo. Kama imeshindwa kuifunga simba goli 3+ timu iliyojaza majeruhi basi itoshe tu kusema kuwa Yanga ni kakikundi ka wahuni. Yaani timu haina wachezi muhimu wa kikosi cha kwanza Napo mnaomba mpira uishe.
Manula[emoji777]
Kapombe[emoji777]
Mkukude[emoji777]
Chama[emoji777]
Morisoni[emoji777]
Bocco[emoji777]
Hamkosi sababu. Mikia ni mikia tuHakuna timu ya kucheza mechi za kimataifa hapo. Kama imeshindwa kuifunga simba goli 3+ timu iliyojaza majeruhi basi itoshe tu kusema kuwa Yanga ni kakikundi ka wahuni. Yaani timu haina wachezi muhimu wa kikosi cha kwanza Napo mnaomba mpira uishe.
Manula[emoji777]
Kapombe[emoji777]
Mkukude[emoji777]
Chama[emoji777]
Morisoni[emoji777]
Bocco[emoji777]
Kati ya mechi nne msimu huu zilizokutana Simba na Yanga . Yanga kashinda mbili droo 2 Kati ya hizo mechi tatu walicheza hao wachezaji wako unaowategemea na hatukuona maajabu yoyoteHakuna timu ya kucheza mechi za kimataifa hapo. Kama imeshindwa kuifunga simba goli 3+ timu iliyojaza majeruhi basi itoshe tu kusema kuwa Yanga ni kakikundi ka wahuni. Yaani timu haina wachezi muhimu wa kikosi cha kwanza Napo mnaomba mpira uishe.
Manula[emoji777]
Kapombe[emoji777]
Mkukude[emoji777]
Chama[emoji777]
Morisoni[emoji777]
Bocco[emoji777]