Soka letu ili liendelee inabidi simba na yanga zivunjwe au zifungiwe kwa muda wa miaka 8 ili marefa wapoteze mawazo ya usimba na uyanga.
Natamani siku moja soka letu liwe kama la Uingereza, yani ifike mahala timu kama ndanda au majimaji ziongoze ligi au kubeba kabisa ubingwa.
Ila ndo hivyo tena, siku zote tutaishia kusikia simba na yanga au mara moja moja azam au mtibwa.