Acha kukariri, unaweza kufeli mtihani vibaya sana. Alama yoyote yaweza kuwekwa cha msingi kuwe na 'ufunguo' wenye maana ya hiyo alama. Rejea kwenye post yangu uone kama sikuweka ufunguo! Poor Great Sinker!
Naipa nafasi Club yangu kipenzi cha roho yangu Mabingwa wa kihistoria Dar Young Africans FC kuchukua kombe hili.
Yanga haishikiki,hadi raha.
Huyu Yanga kule Arsenal,mwaka huu nimenenepa sana kwa raha za clubs zangu hizi zinazonipa.