Hatimae baada ya kufika na kuchezwa kwa mchezo wa nusu fainali kati ya YANGA VS URA kombe la mapinduzi huko zanzbar hatimae,Yanag nayo imayaaga mashindano hayo. kwa maana hiyo FAINALI TAKUWA KATI YA URA YA UGANDA VS MTIB...YANGA YATOKA,YAFUNGWA NA URA KWA PENALT 4 KWA 3,POLENI YANGA
Ina wahenga walikuwa na akili za kufa mtu, tukianza na: Usitukane mamba kabla hujavuka mto; Usishone mbeleko kabla mtoto hajazaliwa; Usitukane wakunga na uzazi ungalipo.