Karibuni wanamichezo tujuzane kinachojiri katika Kombe la Mapinduzi.
Michuano imeanza leo 3/1/2016 mpaka 13/1/2016.
Mechi zinaonyeshwa Live kupitia Azam Two na ZBC two
=============================================================
Matokeo Mpaka Sasa.
3/1/2016
Yanga 3-0 Mafunzo
Mtibwa 1-1 Azam
Yaani ni ubebaji wa dhahiri...Kila mtu anashangaa...Azam wanabebwa kila kona...Kwenye VPL wanawekewa viporo...Huku Mapinduzi cup wanatengenezewa magoli na wanakataa magoli
Acha kukariri, unaweza kufeli mtihani vibaya sana. Alama yoyote yaweza kuwekwa cha msingi kuwe na 'ufunguo' wenye maana ya hiyo alama. Rejea kwenye post yangu uone kama sikuweka ufunguo! Poor Great Sinker!