kweli si mchezo, wangapi wamelala sababu walitendwa, wangapi wamekonda sababu ya kupenda?
Me kuna dada alimpenda sana rafiki yangu, mshikaji akawa anamzingua, alikonda mpaka kuna siku kaja kulalamika kwangu ikabidi nimwambie ukweli mshikaji, alivyoonyesha kujali du dada wa watu alipona ghafla............mapenzi ni kitanzi kibaya, ukiona hujaumia ktk mapenzi ujue hujawahi kupenda