Mapenzi ni hisia full stop

Mkubwa Mapenzi ni "komitiment"


Hisia hushia. ondokana na uo upofu ulio ingia aisee jitahidi kuwa pata mtu alie na "komitiment"

hisia hubadilika .. kutokana na sababu kadha wa kadha.. hisia hujengeka over time ndo maana unaweza mfata binti akuelewi ukamshawish mpk akaingia king... na mkapendana epic ..



ila ukizungumzia "komitiment" ni kitu ingine kabisa haijalisha yuko aje .. hali gani .. na wakat gani akiwa "komited" utafika mbali sana na mtu wako kwenu mapenzi ..


Hakikisha unapata iyo kitu wachana na hisia huja na kupotea


ila kama ni short term go for hisia ila in long run ...


##"all the good thing comes to those who wait"
 
Mi huwa hisia zinakuja Kwa yoyote tu mweupe halafu ana trako and hips pana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…