inategemea na upana unaoutaka wa hayo ya pembeni, kwa mfano yakiwa mita 2 ni sh.90,000 set, yakiwa mita 1.5 ni sh.80,000 set.I mean izi apaa bei gan set ya dirisha moja
Mikoa yote natuma, na gharama za kutuma kwenye mabasi ni kutokana na thamani ya mzigo wako ila ni kuanzia 10000-25,000Kwa mikoani mzigo tunapataje na gharama zinakuajee