Ila Zitto KABWE aliongea point kubwa sana kumuomba Rais Samia Suluhu Hassan aangalie suala la M/kiti wa Chadema Taifa, Mh Freeman Mbowe kuhusu kesi yake. Lakin Tundu Lissu alisema CHADEMA haiwezi kuomba msamaha baada ya Rais Samia kusema Chama chake kipo tayari kukaa mezani kuyamaliza.
#HiiImekaajeWadauwaJF?