Maoni yako

By mapizi

Member
Joined
Mar 6, 2013
Posts
31
Reaction score
6
Ujinga ni kumpeleka demu gest alafu unamwambia jisike upo nyumbani..andika na wewe ujinga unaoufahamu.
 
kumpigisha misosi ya kufa mtu demu wako hadi anabakiza inaenda kumwagwa na waiter wakati we huli kwa kujifanya we umeshiba umekwisha kula kumbe hujala ila unapesa kidogo tu na ndo hizo unataka kumfanyia ma suprise ili akuone upo juu huku unaumwa na njaa ila unajikaza tu!
 
ujinga kumwambia mtu i love u
halafu unasubiri jibu, wakati sio swali!
 
  1. ........kuvuta sigara hadharani
  2. ........kujipaka perfume za 500/=
  3. ....... kujichana bar na demu masupu supu, mipombe na nyumbani umeacha maharage na dona
 
ujinga ni nyie wote mnaojua kuwa mnaoandika ni ujinga na bado mnaendelea kuandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…