log bianca
Member
- Sep 19, 2014
- 36
- 8
- Thread starter
-
- #21
Unaweza kumbuka ni nati namba ngapi ni chukue spanner nikaifunge tena naenda kuweka na lock-nut isifunguke tena.
Maisha yake yanakushughurisha nini??????? Kuhubiri ni kuchanganyikiwa??????
vitu vingne vnakua hard to explain jaman bt mngekua mnamuona live nd ingekua poaa
Unaweza kumbuka ni nati namba ngapi ni chukue spanner nikaifunge tena naenda kuweka na lock-nut isifunguke tena.
Mbona unaonekana kama unampenda..
uhuhuhuhuhuhuhuhuu huuuuuuu dah jf burudaaaaaaaniiii..