Maoni kuhusu hili

log bianca

Member
Joined
Sep 19, 2014
Posts
36
Reaction score
8
Habari zenu mabibi na mabwana nimekuja hapa kuomba maoni yenu ndugu zangu mimi ni msichana.

Kuna mkaka alikuwa ananipenda sana kimapenzi sema mimi sikuwa nimempenda, ikapelekea mutomkubali kijana alkua mstaarabu koz tumekua wote alikua ananifatilia tangu nipo form two mpaka nmeingia chuo mwaka wa pili akuchoka kwa kua ckurizia kua nae kimapenz kipind kile nasoma nalisubr akais ntabadli mawazo lakin nmemalz mpaka sa iv nmeamua kua na mpenz namuona yule kijana ameloose akajiusisha na mapenz na mdada mkubwa kumzid yeye mara sasa iv akaamua kuokoka sasa dini imekuja.moto moto anatembea na biblia na kuubil alimalza chuo kikuu flani apa dar ana bisness zqke lakin sasa anapoteza direction ya maisha najifill guilt naona kama na mimi nmechangia katika kuyumba kwake
 
Mwanafunzi wa chuo huyu.!!

Kazi ipo!?
 
Umeshamaliza chuo?
Una mwandiko mbayaa!!!
 
Mwanafunzi wa chuo huyu.!!

Kazi ipo!?

Ndio mkuu na ameshamaliza chuo anaingia ktk dimbwi la ajira hapo interview ndio zitamaliza ubishi au
 

Are you sure kwamba wee ndio chanzo??????!!!!! Ulimuuliza akakwambia???????????????
 
mwandiko wa mtu aliyemaliza chuo huu?

Kazi ipo tena kubwa..... Aisee.....
 
Usitake kuniambia kuhubiri kumefananishwa na kushuka kimaisha!!! Unaonekana kama humo.kichwan mwako kuna nati imelegea kidogo
 

Hivi ulichokuwa unakunywa kwenye glasi pale ni zanzi, kiroba, au pingu?
Ama kweli pombe sio chai, yaani mtu anahubiri, anafanya kazi ya Mungu unamuona ameshuka kimaisha, eti kisa ulimnyima papuchi yako, ukaenda kugegedwa na mwingine...
Ushauri wangu, nenda kwa jamaa akuhubirie na ww uokoke km yy
 
cyo ulokole nd umemshusha anaonekana sasa iv yan anakua muda wote anahubir ad kuvaa vzur kaacha anazunguka na bibble tu kama mnao waona wanazomewa kkoo
 
Maisha yake yanakushughurisha nini??????? Kuhubiri ni kuchanganyikiwa??????
 
Usitake kuniambia kuhubiri kumefananishwa na kushuka kimaisha!!! Unaonekana kama humo kichwan mwako kuna nati imelegea kidogo

Unaweza kumbuka ni nati namba ngapi ni chukue spanner nikaifunge tena naenda kuweka na lock-nut isifunguke tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…