Kwa wale wanao amini kuwa Mungu anaweza kuponya, basi ungana nami na tumuombee huyu Mtoto Uponyaji.
[Yesu] Akawaambia, Enendeni ulimwengu mwote mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini atahukumiwa. Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya; watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya (Marko 16:15-18).
Mmmh!!! mateso hayo sio kusudi la mungu, nahisi tumbo la uzazi linauma kwa kweli.
Eee Mungu mfalme wa mbingu na nchi, shusha mkono ako wako wa uponyaji kwa mtoto huyu.
Lord Jesus we ask for your healing today ,
your mercy and grace is for every soul, visit the pictured for his deliverance from this affliction in your Mighty name of Jesus