Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,678
- 5,166
Kuna nyuz nying Sana za aina hii lakn sjawahi ona msaada..!!wadau wameshindwa kutoa msaada kweli hii nchi ya kusadikika
kweli mim nilitaka kujua kama kuna watu wanapata kazi kupitia jf kwelKuna nyuz nying Sana za aina hii lakn sjawahi ona msaada..!!
Wapo wengi tu walio pata na kuleta mirejesho humu kipindi cha zaman,sasa hivi watu wakipata wanatulia kimya kimya tukweli mim nilitaka kujua kama kuna watu wanapata kazi kupitia jf kwel
wanaona jau nini....Wapo wengi tu walio pata na kuleta mirejesho humu kipindi cha zaman,sasa hivi watu wakipata wanatulia kimya kimya tu
Natafuta mtu wa masoko ya bidhaa zangu unaweza?!habari wakuu!
kwa jina naitwa adnan nipo dar es salaam,mimi ni kijana muhitimu wa kidato cha sita mwaka huu.
lengo kubwa la uzi huu ni kuomba nyinyiwadau wa viwandani au maofisini kunipatia fursa ya ajira kwani nina uhakika naweza kufanya kazi kwa ufasaha.
mimi ni kijana mwenye nidhamu na mwenye kujituma hivo ondoa shaka suala la kinidhamu au uaminifu kwani nakuhakikishia mimi si mtu mwenye tabia mbaya.
Naomba kwa alie tayar anipm kwa maelezo zaidi.
AHSANTENi
hujaeleweka bado elezea kidogoUtaombaje kazi kwa jina LA jf
Mkuu jamii forum sio sehem ya msaada siku hizi,humu kazi kubwa ni kukosoa serikali tu.habari wakuu!