Erick_Blocks_Machine Member Joined May 1, 2025 Posts 54 Reaction score 13 Jun 1, 2025 #1 Tunauza mashine bora za kufyatulia tofali aina ya (BamBam) Mashine yenye uwezo wa kutoa tofali moja kwa wakati mmoja Bei ni 700k complete. Tunapatikana Mwenge Dar es salaam opposite na SUMA JKT MILITARY BASE Bagamoyo Road.
Tunauza mashine bora za kufyatulia tofali aina ya (BamBam) Mashine yenye uwezo wa kutoa tofali moja kwa wakati mmoja Bei ni 700k complete. Tunapatikana Mwenge Dar es salaam opposite na SUMA JKT MILITARY BASE Bagamoyo Road.
B Bin S JF-Expert Member Joined Mar 26, 2023 Posts 400 Reaction score 659 Jun 1, 2025 #2 Mbona bei mkasi sana, tuma picha hiyo iliyofyatua tofali hapo kwenye picha
Mgeni wa Jiji JF-Expert Member Joined Jul 27, 2017 Posts 10,484 Reaction score 19,987 Jun 1, 2025 #3 Erick_Blocks_Machine said: Mashine yenye uwezo wa kutoa tofali moja kwa wakati mmoja Click to expand... Hapa ulitaka kumaanisha nini kiongozi, au ni kwenye moja na mbili za kuwajaza wateja?
Erick_Blocks_Machine said: Mashine yenye uwezo wa kutoa tofali moja kwa wakati mmoja Click to expand... Hapa ulitaka kumaanisha nini kiongozi, au ni kwenye moja na mbili za kuwajaza wateja?
B Bin S JF-Expert Member Joined Mar 26, 2023 Posts 400 Reaction score 659 Jun 1, 2025 #4 Erick_Blocks_Machine jibu maswali yetu kwenye ule Uzi wa vibrator machine na huu. Jitahidi tutoa tangazo lililokamilika
Erick_Blocks_Machine jibu maswali yetu kwenye ule Uzi wa vibrator machine na huu. Jitahidi tutoa tangazo lililokamilika