Mangula ampa makavu mungai

Kwahiyo yeye siku hizi kashiba?

Subiri arudishwe mashinani kulima nyanya....
 
Kati ya Mungai na Mangula mwenye njaa nani?Huyu si aliokolewa akiwa katika vinyungu vya lukalifya,vitunguu na nyanya?
 
Mungai anaongoza kwa sisi watanzania weusi kuwa na hisa nyingi zaidi katika makampuni yaliojiandikisha DSE.
Huyu Mangula anatia huruma kutemwa ccm alifikia kuchanganyikiwa kwa kukosa hata mlo wa siku.
Amshukuru sana kikwete kumkumbuka
 
Huyu si ndio yule ambaye hupata vyeo kwa kuwatoa ndugu zake kafara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…