Mangula acheza rafu CHADEMA

Ukiona anafanya hivyo basi akili yake ni ndogo sana!!!!
 
Njaa mbaya sana...boom likikata lazima uchanganyikiwe....maskini MUCE!
 
wataweza kurudisha kadi ila hawataweza kuirudisha chini nguvu ya umma
 
ni jioni muda huu je hao wafa njaa wamesharudisha hizo photocopy kadi?
 
.......hata masalia wa pm 7 na wenyewe walianzia huku huku!!!!!!
 

their future is created by what their doing today wakimaliza shule watazunguka na bahasha za kaki mpaka washangae....ajira zenyewe ndiyo hizi boda boda,mpesa,tigopesa na airtelmoney.
 
Chukuen hizo buku 5 na tshirt, then msiende mkutanon, kaen Chuon mjisomee.

Msikatae pesa
 
Kama vijana wasomi wanaweza kutumika kihivyo, taifa tuna hasara.
 
Kila mbinu itashindwa, mwisho ukweli utatawala, awaulize wazee wenzake akina Makamba, Msekwa na hata Kingunge wanakionaje Chama ndipo aanze kupoteza nguvu zake ambazo ni muhimu sana katika umri wake huu. Chama kinahitaji mabadiliko makubwa ya ndani kabla ya kutoka nje, na kama anataka kusafisha nje bila kuona uozo wa ndani basi, si ajabu baada ya mwaka mmoja akatangaza kuanzisha chama kipya ama kujiunga na upinzani. UOZO WA NDANI KWANZA UPINZANI BAADAYE.
 
vyuo vikuu vya dar havifanyi upuuzi huo. Huko iringa vyuo vingi ni vya kata ndo maana wanarubuniwa kwa sh 5000! They are foolish
 
wATANZANIA SI MABWEGE TENA

HATA MTWARA NA LINDI WAMEAMKA
 
Hakuna rafu yeyote. Huu ni uzumbukuku kwani walishashtukiwa kitambo sana.
 
hivi mangula kwa nini asiende Mtwara kuwatuliza wananchi?kama kweli anakubalika? na akienda asiongozani na vitu vyenye ncha kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…