Angalia setting ya langi katika Tv ama DvD yako ila lazima itakua iyo Tatizo ipo katika DvD Umeweka Rangi ya PAL sasa ibadili iwe Normal. kama inagoma ikiwa imechomekwa hivyo hivyo inaonyesha black end white nenda ktk setting ya Tv Balili Rangi Itoke ktk PAL.
Mi ni firstime kuja hapa jf but kuna Tv yangu aina ya samsang 23'f4003 yan nkikonect na dvd player inadisplay black and white picture ila kwa usb na hdmi inakuwa poa je tatitzo itakuwa nin na warant yake ya 2year haijaisha bado nipen msaada tafadhali