Klabu ya Manchester United imeamua kumfuta kazi kocha Michael Carrick kufuatia tathmini ya ndani iliyofanyika ndani ya saa 48 zilizopita.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, uamuzi huo tayari umefikiwa na uongozi wa klabu, huku Carrick akipewa taarifa rasmi kuhusu kutimuliwa kwake leo.
Hatua hiyo inahitimisha safari ya Carrick ndani ya klabu hiyo katika nafasi yake ya ukocha, kufuatia uamuzi wa viongozi wa Manchester United kufanya mabadiliko katika benchi la ufundi.
Taarifa zinaeleza kuwa Carrick ameshapewa taarifa rasmi kuhusu uamuzi huo, huku safari yake ndani ya klabu hiyo ikifikia mwisho.
Karrick amaecheza
Michezo 32
Kushinda 15
Sare 8
Kupoteza 9
Alianza kazi Januari 2026 kama kocha wa muda baadae Mei 2026 akawa kocha mkuu na amefutwa kazi Novemba 2026.
Pia soma:
Manchester United inatazamia kumfuta kazi kocha wake mkuu, Michael Carrick
Mechi zijazo za Manchester United
1. Liverpool (Ugenini) – Ligi Kuu England, Jumapili, Novemba 22. Itaonyeshwa mubashara kupitia Sky Sports.
2. Sporting (Ugenini) – Ligi ya Mabingwa Ulaya, Jumatano, Novemba 25.
3. Brentford (Nyumbani) – Ligi Kuu England, Jumamosi, Novemba 28.
4. Newcastle (Ugenini) – Ligi Kuu England, Jumatano, Desemba 2. Itaonyeshwa mubashara kupitia Sky Sports.
5. Coventry (Nyumbani) – Ligi Kuu England, Jumamosi, Desemba 5.
6. RB Leipzig (Nyumbani) – Ligi ya Mabingwa Ulaya, Jumanne, Desemba 8.
=============
Manchester United can confirm that Michael Carrick has departed his role as men’s first-team head coach.
Michael rejoined the club in January and guided the team to a third-placed Premier League finish by winning 12 out of the remaining 17 games of the 2025/26 season, accumulating the highest points tally in the league during that period.
After a disappointing start to the season, the club has come to the extremely difficult conclusion that a change is necessary in order to achieve our ambitions.
Michael is, and always will be, a Manchester United legend. Just as he did as a player, he has conducted himself with the highest standards of dedication and professionalism throughout his time back with the club. His leadership and achievements last season will always be fondly remembered.
The club intends to appoint a permanent successor as quickly as possible.