Mamserenger
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,156
- 2,115
πππSkia nikwambie, baada ya Mwamedi kushindwa kumpa mimba babla , akaona ampe Simba.
#ova
Hatujui zaidi tunalo lijua sasaaSimba itarudi katika ubora wake , ipo hivyo toka 1936
Manara hana lolote!! Angekuwa na lolote angeenda na hilo lolote yanga na tungeliona!! Ameangukia pua mechi ya kwanza tu ya mchujo!!Wale wana wa Msimbazi poleni sana kwa kipigo pale kwa Mkapa.
Kuondoka kwa Haji Manara kweli kunaonesha kabisa kuna Nguzo moja imevunjika pale Msimbazi.
Namkumbuka sana Manara mechi kama hizi kabla hazija anza week moja kabla zinapigiwa promo sana.
Manara alikuwa anazitangaza na sisi mashabiki kweli tulikuwa tunajaa uwanjani.
Lakini sasa hivi tumewaleta wamasishaji hawa kina Mwijaku na mwenzie Mziwanda mechi hazija anza badala kuwa amasisha watu kuwatia Morali wachezaji wao wanakuja na kuponda watangulizi na hata kutoa Lugha na ahadi za kufedhea. Wao wanazani Brand ya Simba imejengwa kwa mdomo mwingi na ahadi za kisengerenyuma.
Any way hata Babra CEO wa Simba nae huwa ana hulka za kimwanamke hasa kuchagua wale wa pashaji ambao kwakweli asee sio watu wa ma hala pale.Wanaongozwa tuu na hulka za Mipasho Majungu na upuuzi.CEO Akiamini Simba ikiwa na pesa za kutosha.Basi makombe yote mpaka ya Ligi atachukua yeye.
Kwa Sasa Simba hatuna tena ule umoja wa Viongozi wachezaji pamoja na Mashabiki chanzo kikubwa ni ile Press ya Manara kueleza ukweli alio kuwa anafanyiwa pale Simba na ma boss wakubwa ambao huwezi kuwa dhania kabisa.Na yeye akiondoka lihali bado anaipenda Simba.
Sasa wale wanazi walio itunza Simba na walio pambania hawapo wamekaa pembeni
Simba ya Sasa ni ya Kina Mwijaku na Badra Mo
Hakika tusha potea kwenye ramani yoteee
Ila narudia tena Sumu ni ile Press ya Manara kufunua uwozo wote alio kuwa anafanyiwa na Ma Boss wake Mo pamoja na Badra.
Asansteni
Mamserenger
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
SimbaMetl kwa Sasa Ni mali ya Kanjbhai.Amefanya Kama akiofanya Mugabe kwa Grace Mugabe.Babrametl iz ikwo tu SimbametlSimba itarudi katika ubora wake , ipo hivyo toka 1936
Yanga hawakuwa na mpango wa kucheza CAFCL. Lengo ni kuchukua kombe la ligi kuu msimu huu hapa nyumbani.Manara hana lolote!! Angekuwa na lolote angeenda na hilo lolote yanga na tungeliona!! Ameangukia pua mechi ya kwanza tu ya mchujo!!
Kweli unacho kiona.Manara hana lolote!! Angekuwa na lolote angeenda na hilo lolote yanga na tungeliona!! Ameangukia pua mechi ya kwanza tu ya mchujo!!
Kwani mashabiki hawajajaa maana caf walitaka 15000 tuWale wana wa Msimbazi poleni sana kwa kipigo pale kwa Mkapa.