Hii ni habara njema na ni zuri sana kwa mashabiki wa Manchester United!
Mtakuwa wapumbavu kutoa kiasi hicho cha pesa kwa mchezaji ambaye ni 30, na ukweli ni kwamba Ronaldo hawezi kuimprove tena, kishafika ukomo, kinachofuata ni kushuka ngazi. Manager yeyote aliye smart hawezi mnununua kwa hilo dau!! Hizi ni ndoto za kujifurahisha Manu fans.
Why signing a prima dona???
Sema watakuwa wajinga...wapumbavu kama umewatukana....
Unaujua Mpira?JF ulijiunga lini? Habari zingine hata usipoziwekea source hazina madhara mkuu