WANAJAMVI kwanza nawasalimu kwa upendo nawalata kwenye wazo hili;MAMBO YANAYO IMARISHA MAPENZI AU NDOA
Kwanza mukubali akupendae muepuke umpendae labda uhakikishe umeujaza moyo wake.
pili kila mtu ajitolee kwaajili ya mweziwe.
tatu kilammoja aondoe kero na asiwe kero kwa mweziwe
nne urafiki wenu uongoze maisha yenu
tano kila mtu ajuwe nafasi yake na nafasi yamweziwe na ya wengine ktk jamii
sita upamoja wenu ushike nafasi ya ndoa
saba kujitambua kuwatambua wengina kumtambua MWENYEENZI MUNGU.
WAPENDWA NAWASILISHA KWENU.