Habari Wana Jamiiforum, naomba mpokee salamu za msimu wa sikukuu, hususan Heri Christmas na Mwaka mpya 2026. Niwaombe mpate nafasi ya kupitia mambo haya machache muhimu ya kuzingatia unapochagua shule ya kumpeleka mtoto mdogo wa umri wa chini ya miaka 6. Nitawakumbusha tu basdhi ya vitu vichache ambavyo huwa tunavizingatia tukiwa nyumbani na ni hivyohivyo msivisahau kuzingatiai mnapochagua shule ya awali:
Mazingira salama, mnapenda mtoto awe sehemu salama
Usafi wa mtoto na vyote anavyovitumia
Mafundisho yanayoendana na umri wa mtoto, muhimu sana
Kulala na kupumzika vizuri
Afya bora kwa njia ya lishe bora tena kwa wakati sahihi
Utulivu wa hali ya juu hasa anapokuwa amelala au amepumzika
Mafundisho bora ya kimaadili; heshima, adabu, nidhamu na utii
Hayo ni machache, zaidi soma kwenye post picha zilizo ambatishwa au mengi zaidi tembelea instagram: highhopes_academy_arusha