Mitandao ya kijamii, ni vyema kuitumia kwa faida na umakini mkubwa vinginevyo unaweza kuingia pabaya. Just kukuongezea point, umewahi kuweka details zako kamili kwenye hii mitandao? Kama ndivyo, nenda google na chapa hapo jina lako utakuta details zako zooote zinakuja mpaka namba ya simu! Ukiharibu ni dakika moja kukamatwa na maintelijensia wanaojua kazi zao vizuri!