Ila huyu chuchunge ni Sikio la kufa, kutwa kujidhalilisha kisa Diamond , huyu si aliambiwaga mchawi na familia Nzima? Kutwa kuwafuata fuata kitu gan wakat hawakutaki, hata domo mwenyew angekua anakutaka angekutambulisha as formal girlfriend sio mchepuko, li hamisa linakera Sijui aliyemrogaga nani, anaona maisha bila domo hayaendi.
Yani bila aibu linajiaibisha eti aliomba namba ya mama domo amtakie happy birthday, akamtumia message hakujibu, yan anataka tujue ye Ndo yuko karibu sana na Diamond .
Hakuna Mwanamke mwenye kihere here na mwanaume akaja kuolewa, mbona lulu kachumbiwa na anakaa na mchumba wake hanaga huu ushamba kama wako halafu wewe ni Mama sasa unatakiwa ukue, unavyomshobokea domo unadhan kuna mwanaume atakuja kukuoa, akili zako sio nzuri .
Toka nimemfahamu Lulu sijawahi kuona anajipendekeza kwa wanaume, and she has dated the most powerful n rich men kuliko hata huyo unayemgombania na hakutaki, msichana mzuri ila unajishusha thamani mxieew domo kama kwapa la bundi
View attachment 1601908
Sijui Hamisa anakwama wapi? Kuna vitu huwa havina maana kuviongea
Habari ya kutojibiwa msg na mama wa mzazi mwenzie na habari ya mimba3 kutoka zimemshushia sana heshma yake
Umri bado mdogo apambane na mambo yake aachane na familia za watu
Kama angekua anajielewa should ongea kuhusu yeye na kazi zake tu,hayo mambo ya kutoa mimba sijui mara diamond kaenda kumchukua soo upuuzi yani,halafu at the same time she is befriending tanassha sasa mwenzie atajisikiaje, kama kaamua kuwa na urafiki na mke mwenzie aache tabia za kuzungumzia Diamond,sidhan kama tanasha anajisikia poa
Uliyeandika hii thread wewe ni "ke" au "me"???Ila huyu chuchunge ni Sikio la kufa, kutwa kujidhalilisha kisa Diamond , huyu si aliambiwaga mchawi na familia Nzima? Kutwa kuwafuata fuata kitu gan wakat hawakutaki, hata domo mwenyew angekua anakutaka angekutambulisha as formal girlfriend sio mchepuko, li hamisa linakera Sijui aliyemrogaga nani, anaona maisha bila domo hayaendi.
Yani bila aibu linajiaibisha eti aliomba namba ya mama domo amtakie happy birthday, akamtumia message hakujibu, yan anataka tujue ye Ndo yuko karibu sana na Diamond .
Hakuna Mwanamke mwenye kihere here na mwanaume akaja kuolewa, mbona lulu kachumbiwa na anakaa na mchumba wake hanaga huu ushamba kama wako halafu wewe ni Mama sasa unatakiwa ukue, unavyomshobokea domo unadhan kuna mwanaume atakuja kukuoa, akili zako sio nzuri .
Toka nimemfahamu Lulu sijawahi kuona anajipendekeza kwa wanaume, and she has dated the most powerful n rich men kuliko hata huyo unayemgombania na hakutaki, msichana mzuri ila unajishusha thamani mxieew domo kama kwapa la bundi
View attachment 1601908
Hizo mxieew ni vijambo vyako au,umekula kande zilizochacha niniShuka hilo kwio,kwan ye ndo wa kwanza bibi wee,mtu unalalwa unadhalilishwa bado upo tu mxieew njaa mbaya
Kunguni Huyu mimi mwenyewe alinisababishia ban,hivi leo ndio nimetoka kifungoniAliniletea za kuleta, nikachomoa 🔋 sasa kapigwa ban,
Dalili zote zinaonyesha ana stress
Dangote ni brand name ya cemebt zaje toka mtwara.Mkuu kwani dangote ni brand name au ni jina kama ilivyo shaban
Dangote ni brand name ya cemebt zaje toka mtwara.Mkuu kwani dangote ni brand name au ni jina kama ilivyo shaban
Mamba ilikuwa brand name ya Kobe Bryant, je inamzuia mtu kujiita mamba.Dangote ni brand name ya cemebt zaje toka mtwara.
Dangote cement.
Uko sahihi 100% so dangote ni brand name as u askedMamba ilikuwa brand name ya Kobe Bryant, je inamzuia mtu kujiita mamba.
Halafu Dangote ni jina kama Shabani au juma, mtu yoyote anaweza kulitumia isipokuwa kibiashara napo ni pale tu ambapo atakuwa kalisajili kimataifa au nchini kama brand name.
Very True mkuuUko sahihi 100% so dangote ni brand name as u asked
Pole sana wangu hata. Lenyewe lilipewa ban, yule ni. MkosiKunguni Huyu mimi mwenyewe alinisababishia ban,hivi leo ndio nimetoka kifungoni
Mama Hamisa alishawahi kua jimama la anko Shamte,Ama walichukuliana wanaume na mama ake hamisa
Mende alimpanda kunguni,ndio ukazaliwa wewe,kwa hiyo wewe ni halfcaste wa mende na kunguni,nipigwe ban mwaka mzima kwani JF ni ya ukoo wenu nyie mende na kunginiLin hyo , ban ya dakika moja?? , mwambie aendelee this time atapigwa ban Mwaka mzima kenge nyie
Mende alimpanda kunguni,ndio ukazaliwa wewe,kwa hiyo wewe ni halfcaste wa mende na kunguni,nipigwe ban mwaka mzima kwani JF ni ya ukoo wenu nyie mende na kungini
Haaaaa Haaaaa 😂 haloooooMende alimpanda kunguni,ndio ukazaliwa wewe,kwa hiyo wewe ni halfcaste wa mende na kunguni,nipigwe ban mwaka mzima kwani JF ni ya ukoo wenu nyie mende na kungini