Sam mirror JF-Expert Member Joined Sep 29, 2018 Posts 1,461 Reaction score 2,241 Jul 30, 2022 #1 Habari, Wakuu samahani sana kwa mtu yoyote anayejua malipo ya sensa kwa ujumla kwa makarani na wasimamizi wa maudhui aweke hapa huo mchanganuo maana uku mtaani kila mtu anaongea jambo lake. Natanguliza shukulani za awali.
Habari, Wakuu samahani sana kwa mtu yoyote anayejua malipo ya sensa kwa ujumla kwa makarani na wasimamizi wa maudhui aweke hapa huo mchanganuo maana uku mtaani kila mtu anaongea jambo lake. Natanguliza shukulani za awali.