Last sentinel JF-Expert Member Joined Jan 13, 2013 Posts 277 Reaction score 113 Apr 19, 2025 #1 Hellw jf,nina swali.Ni kweli TAESA huwa wanalipa watu internship?
Mr Devil JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 15,190 Reaction score 35,187 Apr 19, 2025 #3 Wanalipa ila uta isoma namba malipo ya huu mwezi kuja kulipwa miezi miwili au 3mbele ni kawaida sanaa
Wanalipa ila uta isoma namba malipo ya huu mwezi kuja kulipwa miezi miwili au 3mbele ni kawaida sanaa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,466 Reaction score 193,421 Apr 19, 2025 #4 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
Last sentinel JF-Expert Member Joined Jan 13, 2013 Posts 277 Reaction score 113 Apr 19, 2025 Thread starter #5 Mr Devil said: Wanalipa ila uta isoma namba malipo ya huu mwezi kuja kulipwa miezi miwili au 3mbele ni kawaida sanaa Click to expand... haahha ni hatar mkuu
Mr Devil said: Wanalipa ila uta isoma namba malipo ya huu mwezi kuja kulipwa miezi miwili au 3mbele ni kawaida sanaa Click to expand... haahha ni hatar mkuu
Last sentinel JF-Expert Member Joined Jan 13, 2013 Posts 277 Reaction score 113 Apr 22, 2025 Thread starter #6 Mr Devil said: Wanalipa ila uta isoma namba malipo ya huu mwezi kuja kulipwa miezi miwili au 3mbele ni kawaida sanaa Click to expand... sema wana utapel
Mr Devil said: Wanalipa ila uta isoma namba malipo ya huu mwezi kuja kulipwa miezi miwili au 3mbele ni kawaida sanaa Click to expand... sema wana utapel
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,609 Reaction score 59,647 Apr 22, 2025 #7 Mr Devil said: Wanalipa ila uta isoma namba malipo ya huu mwezi kuja kulipwa miezi miwili au 3mbele ni kawaida sanaa Click to expand... Km unafanya kazi ya Ulinzi wa Geti
Mr Devil said: Wanalipa ila uta isoma namba malipo ya huu mwezi kuja kulipwa miezi miwili au 3mbele ni kawaida sanaa Click to expand... Km unafanya kazi ya Ulinzi wa Geti
Last sentinel JF-Expert Member Joined Jan 13, 2013 Posts 277 Reaction score 113 Apr 22, 2025 Thread starter #8 zerominus10 said: Km unafanya kazi ya Ulinzi wa Geti Click to expand... hahaha dahh
herbanramely Member Joined Apr 16, 2025 Posts 9 Reaction score 2 Apr 29, 2025 #9 Habari, samahani naomba ufafanuzi juu ya mchakato mzima wa ajira kwenye mfumo wa TAESA?