central midfielder
Senior Member
- Apr 14, 2023
- 150
- 218
Maana3) ni moja ya chorus bora Jay dee amewahi imba
...to be with you I'm feeling like I'm top of the world uuuuuh
and i wanna stay just like kilimanjaro mountain
I don't wanna play I just wanna stay....
I just wanna stay I don't wanna play.....
Jay dee bado naamini anaudai huu muziki
Hiyo na Joh Makini aliuwa nafikiri inaweza kusimama kama namba moja. Kuna kale kasehemu G nako na joh hawachani alafu yeye anapiga kimombo aiseee....Ila hiyo ft Ngwair na Fa Sikiliza nayo dah..ππ»3) ni moja ya chorus bora Jay dee amewahi imba
...to be with you I'm feeling like I'm top of the world uuuuuh
and i wanna stay just like kilimanjaro mountain
I don't wanna play I just wanna stay....
I just wanna stay I don't wanna play.....
2) wanoknok [emoji122]
5) Msiache kuongea [emoji122]
Jay dee bado naamini anaudai huu muziki[emoji122]
Sugu ft Jay Dee - Mambo ya fedha.KARIBUNI OLD SCHOOL HAPA. Kabla hujawaza kuhusu Sir Nature, Dully,Q. Chief,T.i.d, Paulina Zongo, Mr Paul n.k. Linapokuja suala la Chorus.
Hivi uliwahi kumfikiria malikia Lady Jaydee linapokuja suala la Chorus. Uliwahi mfikiria kweli?
Ebu tazama hizi Chorus hapa chini. Jideππ»ππ»π₯,
NB;Elewa hizi ni Chorus nazungumzia sio kaimba full ngoma. Ndio mana zipo hizi. Chorus tu.
Ipi uliwahi kuikubali zaidi? Je kuna nyingine nimeisahau unaweza kuiongeza??
NI CHORUS TU, ELEWA.
1.Albert Mangwair ft Lady Jaydee__Mapenzi gani.
2.Mandojo na Domokaya ft Lady Jaydee__Wanok Nok.
3.Joh Makini,G.Nako ft Lady Jaydee__Kilimanjaro Mountain.
4.Ngwair ft Mwana Fa,Lady Jaydee__Sikiliza.
5.Mwana Fa ft Lady Jaydee__Msiache kuongea.
6.Jaffarai ft Lady Jaydee__Sio kweli.
7.Ay ft Lady Jaydee__Machoni kama watu.
8.Nikki mbishi,one,Songa ft Lady Jaydee__Kupanda na kushuka.
9.Mwana ft Lady Jaydee__Wanaume kama mabinti.
10.Profesa Jay ft Lady Jaydee__Bongo Dar Es Saalam.
11.Profesa jay ft Lady jaydee__Niamini remix.
12.Roma ft Lady Jaydee__Diaspora.
13.Mwana ft lady jaydee__Alikufa kwa ngoma.
14.Mwana fa ft Lady jaydee_Sitoamka.
LADY JAYDEE REMEMBER THE NAME.
HIZI NIMETAJA ALIZO SHIRIKISHWA NA KILICHOFUATA NI HISTORIA TUNadhani ukimtoa Juma Nature ni Jay Dee ambaye anafata kwa Chorus Kali sana Katika Bongo fleva yetu na hapo bado hujataja chorus za nyimbo zake ambazo alisimama yeye kama yeye.
Huu wimbo nimewahi kuusikia mara moja tu. Mwenye anao autupie tafadhali.Fid q ft lady jaydee .kadi na ua rose
Understanding, Single Boy na Nitafanya aliimba na verses pia.Sugu ft Jay Dee - Mambo ya fedha.
T.I.D ft Lady Jaydee - Understand.
Alikiba& Lady Jaydee - single boy.
Juma nature ft Lady Jaydee-Kama Jana.
Kidumu ft Jaydee - Nitafanya.
Huyo MWANAMAMA natak kumfananisha na MARIAH CAREY huwa hakoseagi CHORUS.. kama anaimba Uchi vile..KARIBUNI OLD SCHOOL HAPA. Kabla hujawaza kuhusu Sir Nature, Dully,Q. Chief,T.i.d, Paulina Zongo, Mr Paul n.k. Linapokuja suala la Chorus.
Hivi uliwahi kumfikiria malikia Lady Jaydee linapokuja suala la Chorus. Uliwahi mfikiria kweli?
Ebu tazama hizi Chorus hapa chini. Jideππ»ππ»π₯,
NB;Elewa hizi ni Chorus nazungumzia sio kaimba full ngoma. Ndio mana zipo hizi. Chorus tu.
Ipi uliwahi kuikubali zaidi? Je kuna nyingine nimeisahau unaweza kuiongeza??
NI CHORUS TU, ELEWA.
1.Albert Mangwair ft Lady Jaydee__Mapenzi gani.
2.Mandojo na Domokaya ft Lady Jaydee__Wanok Nok.
3.Joh Makini,G.Nako ft Lady Jaydee__Kilimanjaro Mountain.
4.Ngwair ft Mwana Fa,Lady Jaydee__Sikiliza.
5.Mwana Fa ft Lady Jaydee__Msiache kuongea.
6.Jaffarai ft Lady Jaydee__Sio kweli.
7.Ay ft Lady Jaydee__Machoni kama watu.
8.Nikki mbishi,one,Songa ft Lady Jaydee__Kupanda na kushuka.
9.Mwana ft Lady Jaydee__Wanaume kama mabinti.
10.Profesa Jay ft Lady Jaydee__Bongo Dar Es Saalam.
11.Profesa jay ft Lady jaydee__Niamini remix.
12.Roma ft Lady Jaydee__Diaspora.
13.Mwana ft lady jaydee__Alikufa kwa ngoma.
14.Mwana fa ft Lady jaydee_Sitoamka.
LADY JAYDEE REMEMBER THE NAME.
Ndio mana sikuziweka...nataka chorus tuUnderstanding, Single Boy na Nitafanya aliimba na verses pia.
Kuna jamaa kaziweka ndio nilikuwa namjulisha.Ndio mana sikuziweka...nataka chorus tu
Umeweka vice versa Mkuu. Wimbo ni wa Lady Jay Dee, Blue ndio kashirikishwa.Mr blu ft jydee-wangu [emoji91]