Hakuna cha slavery hapo na acha ndoto zako za mchana na kutishia watu
How nice... In Tanganyika them South Koreans came for Our land, Owning several RICE; TOMATO; FRUITS plantations in MOROGORO, Rufiji Basin and other hidden areas...
They exploit Our Land; Our able bodied people; Our life system e.t.c. who is to blame? Nyerere left us poor but with our FREEDOM and Independence... Now we do have so called EDUCATION; POWER; VISION; WEALTH but we are slowly going back to sweet dreams of slavery on Our Own Land!!!
Nyie watu wa ajabu sana kazi yenu ni kuwa critic tuu na hamna deatails zozote kuhusu plan nzima,nchi mnaambiwa ni more than 50% unemployment na ni maskini kweli kweli,for me its better waende huko hata wapate hizo 1000$ na vinguo viwili kuliko kuwa wezi nchini kwao,acheni waende hakuna wanacho poteza ingawaje wote tunajua hawatakuwa matajiri kwa hizo kazi lakini experience na ujuzi utawasaidia sana...nampongeza huyo mama!Huyo Prezda ana akili ndogo kinoma, ameishi nje kweli au kwa kua anapata hela ya serikalini anadhani maisha nje ni mepesi sana. Hapa South Korea hiyo $1000 kwa mwezi mbona inakatika fasta tu, hapo sanasana utapata chumba kidogo na msosi, labda na vi nguo viwili vitatu.. Labda kama amepanga biashara nyingine ila kama anategemea biashara za chinichini hizo kaumia, kwani hata South Korea kuna watu hawana kazi labda waingie Southkorea vijijini kulima, itakua ajabu maana mashamba wanayaacha africa waje kulima huku...
Koreans hawajamwibia mtu yeyote ardhi,wamenunua kama investors wengine tuu kutokana na sharia za nchi sasa hapo slavery ipo wapi? na unafikiri wakati wa Nyerere kulikuwa hakuna foreign companies zilizokuwa zinafanya business kwa kutumia land?FYI it was massive kuanzia Arusha ,Iringa,Morogoro etc foreigners walikuwa na hundrelds of thousands of acres of land...hakuna jipya hapo wala hakuna slaveryExplain to me... not short answer...
Nyie watu wa ajabu sana kazi yenu ni kuwa critic tuu na hamna deatails zozote kuhusu plan nzima,nchi mnaambiwa ni more than 50% unemployment na ni maskini kweli kweli,for me its better waende huko hata wapate hizo 1000$ na vinguo viwili kuliko kuwa wezi nchini kwao,acheni waende hakuna wanacho poteza ingawaje wote tunajua hawatakuwa matajiri kwa hizo kazi lakini experience na ujuzi utawasaidia sana...nampongeza huyo mama!
South Korea kipindi cha nyuma walishawahi kupeleka watu wao huko ulaya kwa ajili ya kupata mtaji wa kujenga kiwanda cha chuma, walihenyeshwa haswaaa na rais wao alipoenda kuwatembelea aliishia kuwarudisha nyumbani kwa huruma maana walikuwa hoi kweli kweli.hiyo ni nchi ya watu pia, we unadhani idadi kubwa ya watu hivo wataenda tu na kuchukua hela kirahisi ka unavodhani? Kama wamekosa kazi Malawi unadhani South korea ndio watapata? Swala sio kuexport watu ovyoovyo, unless unajua pa kwenda kuwaweka, nyie ndio wale mnaona bora kua ombaomba US kuliko kukaa bongo, Huwezi uka export watu in such a large number ovyoovyo unless una plans, bora angesema anaenda kuwasomesha warudi na experience ya kutosha ila kusema anawaondoa ina tofauti gani na kuwafukuza nchini? Sasa umeambiwa nchi za watu ndio sehemu za kwenda kumwaga wananchi wako?
Kama akili ya kifanya kazi Malawi tu mtu hana nje ndio unadhani atapata? Labda kuokota uchafu, na hiyo kama hujui lugha yao hawakupi maana wapo pia wanaotaka hiyo kazi ambao ni wazaliwa wa hilo eneo.
Huna idea na unachoongea wewe.mexican na kazi zao US za kuosha vyombo na kuchuma matunda wanachangia kiasi kikubwa sana GDP ya kwao,zile dola 50 za western union unazodharau kutoka US FYI ni big part of Economy,tatizo la watu kama wewe na theory zenu za kukariri mnafikiri watu wa kipato cha chini ni useless na hawana mchango wowote,kuan watu wengi na kzi zao za kuokota uchafu wanasomesha hapo UD na kujenga nyumba nzuri kuliko your stupid salary ya TRA/BOT,unapiga kelele slavery huku unemployment is more than 50%...you are just BS kaa kimya!hiyo ni nchi ya watu pia, we unadhani idadi kubwa ya watu hivo wataenda tu na kuchukua hela kirahisi ka unavodhani? Kama wamekosa kazi Malawi unadhani South korea ndio watapata? Swala sio kuexport watu ovyoovyo, unless unajua pa kwenda kuwaweka, nyie ndio wale mnaona bora kua ombaomba US kuliko kukaa bongo, Huwezi uka export watu in such a large number ovyoovyo unless una plans, bora angesema anaenda kuwasomesha warudi na experience ya kutosha ila kusema anawaondoa ina tofauti gani na kuwafukuza nchini? Sasa umeambiwa nchi za watu ndio sehemu za kwenda kumwaga wananchi wako?
Kama akili ya kifanya kazi Malawi tu mtu hana nje ndio unadhani atapata? Labda kuokota uchafu, na hiyo kama hujui lugha yao hawakupi maana wapo pia wanaotaka hiyo kazi ambao ni wazaliwa wa hilo eneo.
Huna idea na unachoongea wewe.mexican na kazi zao US za kuosha vyombo na kuchuma matunda wanachangia kiasi kikubwa sana GDP ya kwao,zile dola 50 za western union unazodharau kutoka US FYI ni big part of Economy,tatizo la watu kama wewe na theory zenu za kukariri mnafikiri watu wa kipato cha chini ni useless na hawana mchango wowote,kuan watu wengi na kzi zao za kuokota uchafu wanasomesha hapo UD na kujenga nyumba nzuri kuliko your stupid salary ya TRA/BOT,unapiga kelele slavery huku unemployment is more than 50%...you are just BS kaa kimya!