majanga ya visu yamekuwa yakitikisa sana huko UK. ndipo msanii wa uchongaji Alfie Radley alipoguswa kumtengeneza malaika huyo, ili kuwakumbuka walio athirika na matokio hayo ya visu.
ametumia visu 100,000 ambavyo vingi vilitumika katika athari hizo, alivyopewa na Polisi, katika maeneo ya england na wales.
jamaa anampango wakuweka ilo sanamu sehemu inaitwaTrafalgar square.