Toleo jingine la wimbo maarufu wa mapenzi, pengine kuliko zote zilizowahi kuimbwa barani Afrika. Wimbo huu umeimbwa na Miriam Chemmoss, msanii wa muziki mwenye mizizi ya Kenya na Tanzania.